Fungua link mkuuSijakusoma, dadavua nikuelewe
Lakini nae huwa ana kura ya veto kama hakubaliani na maamuzi ya SenetaHata akija huyo trump hawezi kuamua anavyotaka maamuzi ya nchi za wenzetu yanapata kibali kwa sehemu kubwa na bunge la juu senate hivyo hamna kujiamulia lia ukitaka kama kwetu huku na wale ikija kwenye masuala mapana ya taifa hawana vyama ishu hii senate wameikubali hivyo sio easy kuisha
matatizo ya ngozi nyeusi mkuu?Obama anatamani arudi ikulu...kumbe ana siku 19 tu....ndio mana akasema angegombea tena angeshinda...amekimbizwa sana na mauaji ya watu...mijitu kama Maccain kwa Trump haina nafasi italia sana....obama alikua Rais bendera maamuzi wanatoa wengine yeye hahusiki...jinga kabisa
angelikua mbongo asingetoka madarakaniLakini nae huwa ana kura ya veto kama hakubaliani na maamuzi ya Seneta
Kuitumia ni kuleta mgogoro wa kikatiba maana senate ikikomaa mtaishia kumalizana supreme court kule kiburi hamna kumbuka ukileta ujinga sana wanaweza kukupa impeachment lazima mihimili iheshimiane
Hizo ni hisia zako wewe ukimuona Trump anatweet bila mpangilio na kuropoka unawaza kapatikana dikteta wa kimarekani na atafanya anavyojisikia la hasha ni changamoto kwa Raisi kujiamulia mambo yake hovyo hovyo, kama anataka kupitisha jambo lake liwe ni baya au zuri ataishawishi senate ukizingatia kwenye senate vice president ndio mwenyekiti ikitokea senate imekataa hawezi kufanya lolote, Mfano halisi ni Obama kapiga kelele na gun laws ila watu wakamkatalia akaishia kulia kama mtoto na kutulia tuli.Nina wasi wasi kama unaelewa vizuri mfumo wa Kizungu, wewe ni muhanga kama Waafrika wengi sana ambao wamekaririshwa na kudanganywa sana kuhusu mfumo wa Kizungu, kwa taarifa yako Raisi wa USA ana madaraka na uwezo mkubwa sana kuliko Wazungu wanavyokudanganya, kumbuka ni lengo lao kuidanganya Dunia na watu kama wewe ili muamini kwamba wao ni viumbe kipekee li waendelee kuwatawala, ni kama vile Uingereza wanavyowaambi kwamba Malkia wao ni ceremonila tu na hana Madaraka yoyote ni uongo mkubwa!
Kuna mambo mengi sana yamejificha na hawakwambii, Raisi wa USA ana power kubwa sana, ana kura ya Vito, anateua Majaji wa Mahakama KUU (supreme court), hakuna Sheria inayopita bila ya yeye kuisaini na kuna mambo mengi sana ambayo anaamua kwa utashi wake tu bila ya kuhojiwa na yoyote, na ndio maana watu wanatumia Mabilioni kuupata Uraisi wa USA, Makampuni na Mabenki makubwa Duniani hudhamini Raisi wa USA unafikiri ni kwa nini kama hana madaraka?
Hizo ni hisia zako wewe ukimuona Trump anatweet bila mpangilio na kuropoka unawaza kapatikana dikteta wa kimarekani na atafanya anavyojisikia la hasha ni changamoto kwa Raisi kujiamulia mambo yake hovyo hovyo, kama anataka kupitisha jambo lake liwe ni baya au zuri ataishawishi senate ukizingatia kwenye senate vice president ndio mwenyekiti ikitokea senate imekataa hawezi kufanya lolote, Mfano halisi ni Obama kapiga kelele na gun laws ila watu wakamkatalia akaishia kulia kama mtoto na kutulia tuli.