Oa ujue thamani ya mwanamke

Kaka hongera sana kw ilo, unachofanya utapata dhawabu kwa mungu tena ikibid muombe mungu akufundishe namna ya kuuzidizha uo upendo kw mkeo.... Mimi ni mwanamke mwenye ndoa, sikudanganyi asilimja kubw ya wanawke wanaosaliti ndoa wnayakksa hayo kwa waume zao. Mwanaume hamdhamini mwnamke, hajali hisia zake tena wewe mkeo amezaa umemuona shujaa big uo sana,, wengi wnawchoka wake zao na kuwona wamepitwa na wakati. Faham kua kati y wanaume kumi mpo wawili tu wa dizain yako ishi na mkeo kwa akili na kumtanguliza mungu mbele. Uwe na familia yenye amani. Wengi tunayakosa hayo kakaangu
 
Nimekupenda bure.
 
Mke akikusaliti ujue kuna maumivu kavumilia akachoka upo hapo
 
Amina
 
Mke akikusaliti ujue kuna maumivu kavumilia akachoka upo hapo
Sipo hapo, miaka yote hiyo tunaishi pamoja tena kwa furaha ukiacha matatizo madogo madogo ya hapa na pale ambayo ni ya kawaida kwenye ndoa ushindwe kuniambia!?

Utakuwa taahira ww.
 
Sipo hapo, miaka yote hiyo tunaishi pamoja tena kwa furaha ukiacha matatizo madogo madogo ya hapa na pale ambayo ni ya kawaida kwenye ndoa ushindwe kuniambia!?

Utakuwa taahira ww.
Kwa hapo atakua taaira kam tu ukiambiwa unasikia... Mkuu kuna mwingine unamwambia kabisa napenda iki napenda unifanyie ivi. , siku iz mambo flan siienjoy, huna muda na mimi lkin mkuu huwez kuamini hamn hata moja utakaloona analifanya. Akifanya ni vile anavotaka yeye n kw jinsi anavotaka yeye. Sasa apo michepuko itaepukika vip mkuu
 
Kuna ombi nimeomba hapo au unajizongondoa... KILA kitu kina mabaya na mazuri yake ulienda kwenye usaili?
Umemwambia asubiri shetani aje. As if una uhakika kama shetani ataingilia ndoa yake. Basi andika mazuri, mpongeze kama wengine wanavyompongeza. Mpaka umwambie asubiri shetani aje? Kama sio kumuombea mabaya ni nin?
 
Ukweli ndio huo kataa kubali sikulazimishi.......
 
You can say that again!!
Nimependa sana "confession" yako.
 
Natamani nikup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…