a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,823
- 4,392
Huyu ni loose Nut binadamu wa kwanza kufa na dukuduku lake
Tatizo ni kwamba, kama una chenji nzuri sio rahisi kumjua mwanamke anaekupenda - labda awe na pesa kukuzidiMwanamke kama hakupendi WEWE basi tambua kuna ANAYEMPENDA ambaye SIO WEWE.
Na kamwe HUWEZI KUNUNUA UPENDO wake kwa gharama YEYOTE ili akuende WEWE.
Mana UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI.
Kumgharamia sana mwanamke,kumhonga sana hata UMUHONGE DUNIA hii yote haimaanishi unaweza KUNUNUA UPENDO WAKE kumbadilisha hisia za dhati za moyo wake.(Jipe matumaini atabadilika)
Penda usipopendwa for your own risk
Tatizo ni kwamba, kama una chenji nzuri sio rahisi kumjua mwanamke anaekupenda - labda awe na pesa kukuzidi
Tambua tu upendo/mapenzi
Huwa ina expire so wakati
Ukifika mkubaliane na hali
Siyo mna pasuana,umizana,mnatiana
Ulama
Ova
UPENDO WA KWELI HAUSHI kama hakuna kuumizana trauma.
Lakini kama kuna kuumazana majeraha yanapelekea MTU kuchoka kuumizana moyo majeraha makubwa ya mara KWA mara ya MAUMIVU ya moyo ndiyo yanapelekea KUPOA na kuingia ganzi kwa ule UPENDO WA MWANZO.
Lakini kama wote mna hofu ya Mungu na mnaishi kwa KUMPENDEZA Mungu na KUHESHIMIANA na kuvumiliana bila kuumizana moyo mara KWA mara (kwa kumcha MUNGU)
Hata pale mnapokoseana hekima ya ki Mungu na upendo utawafunika na kuwaongoza kusameheana,KUPENDANA na KUHESHIMIANA.
Tumeona ndoa za wazazi WETU zikidumu,hata sasa zipo ndoa zenye furaha na amani,lakini HII KAMPENI YA KATAA NDOA inatumia nguvu kubwa kuwaaminisha watu kuwa ndoa hazifai..na watu waogope ndoa..
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA aisee mwanamke kama hakupendi,basi uwe na uhakika kuna ANAYEMPENDA ambaye siye WEWE..Mimi nime experience nilijaribu kumuacha mwanamke niliyeanza naye chini aliyenivumilia nikiwa Sina kitu...nilipoanza kukamata vi laki moja moja nikamuacha nikaenda kujichomeka sehemu ambayo ..nilipata pasua kichwa..pamoja na kujitahidi kumjali..Tena kadiri nilivyokuwa nazidisha kumjali na yeye NDIVYO alivyokuwa anazidisha JEURI...
nikarudisha mpira KWA kipa...nikamrudia yule niliyeanza naye KUANZIA chini nikiwa Sina kitu...mpaka sasa hivi Niko naye.
Nikaja na hii THEORY....OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA. hii nimeithibitisha Ina work.
NILIJARIBU KUNUNUA UPENDO NIKAFELI
lakini kama kwa wengine wanaweza kununua UPENDO WA KWELI,basi hiyo ni vizuri.
Mtaandika na kushauri yote lakini binadamu ni kiumbe razini na changamano mno kiasi kwamba huwezi ukamuundia fomyula hasa kwenye mambo ya kinafsiya na kisaikolojia kama mapenzi. Hakunaga fomyula na hata huyo anayedai kukupenda leo kesho anaweza kukuchukia mpaka ukashangaa.
Jitambue. Jua nafasi yako katika maisha ya mtu na usilazimishe mambo. Be fair na jua kuwa binadamu ye yote anaweza kufanya cho chote Na wakati wo wote. After all everything is temporary. Ohooo!