O . M . G

O . M . G

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
genimg.aspx
 
Huree!!. Huyo Bull ameshindwa kushika break kwa hiyo lazima akanywe maji..
 
kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukiumia amka vumilia mbele ya uhai nitafungua turbo hapo mpk huyo bull atabak kushangaaa
 
ha haaaaaaaaa, uwiiiiiii jamani eeh
 
Nini kazi ya mabaunsa hapo? Wanangoja nini? Wamzuwie huyo hayawani.
 
mavi debe...hapo,israili mtoa roho unamuona live
 
jamaa mbona kama anakimbia juu ya maji......... kifo kweli hatari
 
huu nimchezo tu, ndo sababu pembeni unawaona washabiki wametulia wanshuudia what is going on, its very fun.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom