Nzige kuvamia Dodoma ni ishara ya kiroho. Tujiandae

Nzige ni shida!
 

Attachments

  • D63007F0-B9A2-4A72-AF0D-D8FC0CA490CB.jpeg
    D63007F0-B9A2-4A72-AF0D-D8FC0CA490CB.jpeg
    69.7 KB · Views: 2
Njaa kubwa Inakuja juu ya nchi, tuweke akiba ya CHAKULA.

Miaka Saba ya hekaheka Si mchezo. Njaa, majanga Mafuriko nk nk .

Tuombe siku hizo zifupishwe.

Amen
 
Ndani ya 30 days baaada ya nzige kuvamia..matukio ni mengi sana ya WATANZANIA kupoteza maisha na hili la Hanang ndio kubwa zaidi..
 
Nzige ni nuksi kichizi,Farao anaujua moto wake,na ni kati ya mapigo ya laana Toka Kwa Mungu,kweli nakuunga mkono mkuu tutubu,uchafu ni mwingi sana,uzinzi,ulafi,dhuluma,na Kwa nzige kuanzia Dodoma inaishara kuwa viongozi wetu inabidi waanze kutubu kutoka ndani
 
Back
Top Bottom