Nywele zenye mawimbi

qtie

Member
Feb 3, 2017
33
11
Habari. Naomba kujua dawa ya kufanya nywele fupi kuwa na mawimbi pamoja na mafuta yake baada ya dawa. Hapa namaanisha nywele kwa mfano za lulu zinavyovutia na nyingine kama hizo.
 
Wewe ni me au ke? Dawa paka sofn'free,nenda maduka ya urembo nunua mafuta ya sofn'free(styling jelly)ya kijani yanametameta.
 
Urembo huu wakishamba umeniachia athari kubwa sana nilipokua bushi kunajama walikua na hayo nilihangaika sana mafuta kila aina dah matokeo yake kichwa changu hadi ifikapo 2020 ntakua lowassa kabisa
 
Habari. Naomba kujua dawa ya kufanya nywele fupi kuwa na mawimbi pamoja na mafuta yake baada ya dawa. Hapa namaanisha nywele kwa mfano za lulu zinavyovutia na nyingine kama hizo.
Unataka mawimbi ya aina gani.

Mechanical au electromagnetic wave?.
 
Back
Top Bottom