Nywele za sehemu za siri huongeza msongo wa mawazo

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,273
21,387
Dr. Mmoja wa saikolojia kutoka Paris Ufaransa anaejulikana Kwa dr. Smith Aley kamshauri mteja wake anyoe nywele zote sehemu za siri kutokana na mteja wake kusumbuliwa na stress na kuonekana mtu mwenye hasira, kitu kilichomfanya bwana huyo aende kwa daktali (Dr. Smith) ambapo baada ya kuonekana yupo sawa, Alishauriwa kama ana nywele sehemu za siri azitoe, na punde Mteja yule aliponyoa alipona tatizo lake na kumshukuru daktari wake!

Je, ni kweli vuzi laweza sababisha Stress?
 
Hahahahaah zivu huwa nanyoa mara nyingi sana, huenda Ndio maana nina furaha kila wakati
Kuna watu wengine tunakutana nao wamenuna hatari kumbe yaweza ikawa tatizo hili eeh
 
Imani huponya.......... Ni sawa na kusema mwenye ah

Hasira anywe maji
 
Mie nakaribia kusuka rasta, mbona fresh tu nainjoi maisha... No stress

Raha tu mwali akiwa anazichezea chezea..

Bondeni kumekuwa kama wigi la maroune fellain
 
Back
Top Bottom