S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,620
- 32,727
Nimepotea njia
Ulikua waenda wapi??Nimepotea njia
Nilidhani pananihusu kumbe wapi!Ulikua waenda wapi??
Polee mkuuNilidhani pananihusu kumbe wapi!
AsantePolee mkuu
Dah!mi sina kipilipil nina nywele za kawaida sana.sijui hata type gani ila dizain kama zinaanza kupungua hapo utosi(kipara).ni mafuta gani yanaweza saidi zisipungue zaidiSijawahi kuzitumia kwa kweli na mwezi uliopita nimeziona SH Amon nikatamani kuzinunua(bei rahisi sana aisee) ila nikatoka nje ya duka nikasoma reviews zake mtandaoni(sababu sikuwahi kuzisikia kokote kabla ya siku hiyo) nikaona si nzuri. Wengi wanasema ni nzuri kwa mashombeshombe wenye type 3 hair hadi 4A lakini sisi wa kipilipili kichaa si rafiki kwetu.
Kwa kuongezea, siku hizi nimehamia products za Shea Moisture and i must say zinafanya kazi bora zaidi hasa katika kustyle nywele. Unaweza zijaribu japo bei zake zimechangamka!
Massage hapo utosini na Jamaican black castor oil..ila kama upara ni genetic issue (ipo kwenu),am afraid it won't help much.Dah!mi sina kipilipil nina nywele za kawaida sana.sijui hata type gani ila dizain kama zinaanza kupungua hapo utosi(kipara).ni mafuta gani yanaweza saidi zisipungue zaidi
Njoo nikupatie Jamaican black Castor Oil 0714547830Dah!mi sina kipilipil nina nywele za kawaida sana.sijui hata type gani ila dizain kama zinaanza kupungua hapo utosi(kipara).ni mafuta gani yanaweza saidi zisipungue zaidi
KipilipiliTuone nywele zako kwanza.
Hizo nywele bado zipo?Kipilipili