Eti hizi nywele za chini ni vizuri kuzinyoa mara ngapi kwa mwaka...
Mie mwenzenu mara mbili tu
..Nywele za chini ni zipi?
Eti hizi nywele za chini ni vizuri kuzinyoa mara ngapi kwa mwaka...
Mie mwenzenu mara mbili tu
Wewe je?
Nakutakieni weekend njema wapendwa
jamani kuna watu wana vichaka humu, x 2 a year mmmh, reasonably atleast 2x a month.
Sijui hata mara ya mwisho kunyoa ni lini! khaa..
yarabiiiiiiiiiii