PichaHabari wana jf,
Kama kichwa kinavyosema, nimekua nikiangaika na tatizo la nywele kua nyeupe sehem za siri nimekua nikinyoa lakini bado hazibadiliki naombeni dawa
Kila mtu anachangamoto hii dunia hii..Habari wana jf,
Kama kichwa kinavyosema, nimekua nikiangaika na tatizo la nywele kua nyeupe sehem za siri nimekua nikinyoa lakini bado hazibadiliki naombeni dawa
Kwani ukizeeka hadi nywele za sehemu za siri zinabadilika?Mvi hizo, jikubali ushazeeka
NdioKwani ukizeeka hadi nywele za sehemu za siri zinabadilika?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hizo dalili za kupaua na msauzi 🤣