Nywele nyeupe sehem za siri, kwapani

Habari wana jf,
Kama kichwa kinavyosema, nimekua nikiangaika na tatizo la nywele kua nyeupe sehem za siri nimekua nikinyoa lakini bado hazibadiliki naombeni dawa
mkuu tumia superblack au blackshine au piko au ww ulitaka rangi gan
 
Iyo ni dalili ya uchafu unatakiwa uzinyoe na uoge kwa siku mara mbili Hadi tatu utaona mabadiliko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom