Hivi baadhi ya wabongo mbona niwagumu kuelewa, sasa unasema kama hajui kusearch umuelekeze ili iweje, this is a compilation ya thread kali za mwaka 2013, itamsaidia yy na watu wote kwa ujumla, actually itasimplify mbaya!, Grow Up! High Vampireili uzifanyaje kama unataka susome wewe tu tukuwekee ili iweje sasa
eleza kiundani zaidi
kama haujui kusearch sema tukuelekeze kwa njia simple tu
Hivi baadhi ya wabongo mbona niwagumu kuelewa, sasa unasema kama hajui kusearch umuelekeze ili iweje, this is a compilation ya thread kali za mwaka 2013, itamsaidia yy na watu wote kwa ujumla, actually itasimplify mbaya!, Grow Up! High Vampire
.
Iyo imetulia sana C6
.
Mpaka kuna jamaa kai paste humu
.
FAHAMU: mambo 10 ya kuzingatia unapotaka kununua computer
afadhali ata uyu kanitaja... blog zingine wamefikia hata kusema eti ni post yao...
serious this is among the best one???
kuna ubaya gani kuwepo kila jukwaa?