sifa yao kuu ni kiwa waaminifu wa njia waliyo ichagua na huwafikisha waendapo japo hukutana na changamoto mfano ni mamba wakatishapo mitoni n.k
Hii ni sawa na wana ukawa walio waaminifu na jiko la mafisadi ccm wanavyo fanya hila mpaka wamemteka Dr.mihogo na kumtoa katika njia.
viva lowasa.
hawamfuati aliye mbele bali wote wanajua wanakoenda. mara nyingi dume lenye nguvu huwa mbele na siyo sababu linajua njia kuliko wengine bali sababu lina nguvu na kasi. aliye mbele akitaka kuwapeleka kwenye mtego kama walivyofanya slaa na lipumba huachwa wanase peke yao. nyumbu wengine huendelea na safari yao.Pia wanamfuata aliye mbele... What if he is leading them to a trap?
Kwa hiyo ukawa ni akili za nyumbu?
hawamfuati aliye mbele bali wote wanajua wanakoenda. mara nyingi dume lenye nguvu huwa mbele na siyo sababu linajua njia kuliko wengine bali sababu lina nguvu na kasi. aliye mbele akitaka kuwapeleka kwenye mtego kama walivyofanya slaa na lipumba huachwa wanase peke yao. nyumbu wengine huendelea na safari yao.
Je nyumbu awa ufikia malengo yao? Ni ukweli usiopingika kua ufikia malengo. Leo hii umati wa watanzania wanampenda na kumkubari Lowasa ndo wanaitwa nyumbu,je ingekua ccm ndo wanapendwa leo ungewaita nyumbu?
Acha matusi ndugu maana kila mtu kuna anachokiamini.
Ninachowapendea ni ule umoja na mshikamano wao.....hawaachani wala kutengana
Lakini pia ni fighters na Risk taker...hawakubali kufa na tai shingoni wala kuzuiwa na mipaka (moving beyond borders)....wakiona Serengeti hakuna majani wanachukua hatua ya Imani kuvuka mipaka ya hifadhi na ikiwezekana ya nchi ili kutafuta usalama na uhakika wa maisha yao kwa kupata chakula kokote.....