Nyumbu

Nyumbu

Wana tabia ya kufuatana hata kwenye hatari wanakufa wengi sana kutokana na ujinga.

Naona mmefika mbali sasa kiasi hata cha kukosoa uumbaji wa Mungu, je unauelewa kidogo wa kitu kiitwacho equal system?
 
Nyumbu wanapenda mabadiliko. Wakikosa green pastures hapa wanatafuta kule
 
Hapana ukawa sio nyumbu.Nyumbu ni mamake na mleta post.

kwanini unasema mleta post ni nyumbu, amefanya kosa gani...? hajatukana mtu wala hajafananisha yeyoye na nyumbu....
 
hahahaha vibaka wa ccm sasa mmeshikwa pabaya adi mnaleta mada za kujifariji wenyewe kwa wenyewe. MTAACHIA TU
VIVA UKAWA
 
kwanini unasema mleta post ni nyumbu, amefanya kosa gani...? hajatukana mtu wala hajafananisha yeyoye na nyumbu....

Kwani mie nimetukana? wala sijasema mleta post ni nyumbu rudia kusoma vizuri post yangu.
 
Nyumbu wanapenda mabadiliko. Wakikosa green pastures hapa wanatafuta kule

Sawa kabisa.........na pia hawapendi kuburuzwa.......kama mvua hainyeshi hawazai.......wanahold......mpaka kieleweke........
nyumbu safi sana....
 
Sawa kabisa.........na pia hawapendi kuburuzwa.......kama mvua hainyeshi hawazai.......wanahold......mpaka kieleweke........
nyumbu safi sana....
Lakini maelfu ya nyumbu hufa kila mwaka kwa kuliwa na mamba kutokana na ujinga wao wa kukimbizana mtoni bila kujali hatari iliyoko mbele yao.
 
Back
Top Bottom