Nyumbu yaibukia kwenye Umeme!

M

Mafuchila

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2006
Messages
752
Likes
22
Points
35
M

Mafuchila

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2006
752 22 35
Tanga Company plans to produce 450MW
DAILY NEWS Reporter
Daily News; Friday,December 28, 2007 @20:03

TANZANIA People’s Defence Forces’ (TPDF) auxilliary company, Nyumbu, in collaboration with Tanga based company, Katani Ltd, expect to generate 450MW of electricity by using biogas. The Ministry of Defence and National Service said in a statement today that power to be generated at Hale in Tanga and other centres would be added to the national grid to boost supply of the energy by the year 2017.

The statement signed by the Minister for Defence and National Service, Prof Juma Kapuya, said at the moment Nyumbu oversees the biogas plant at Hale that generates 150KW. “Katani Ltd expects to increase the capacity to reach one MW at every centre within 10 years and plans more centres that can enable them to lift the output to 450MW”, said Prof Kapuya.

Electricity at the Hale centre is being produced by using sisal leaves residues taken from a mill run by Katani Ltd that produces special papers, the minister said. Prof Kapuya also said in the report that his ministry has started a process of seeking partners to develop motor vehicle manufacturing industries in the country.

Nyumbu also operates an automobile manufacturing industry which has so far managed to assemble and manufacture a total of 26 vehicles christened Nyumbu which are now being used in a number of military brigades in the country. “The company is continuing with research on the vehicles with the aim of improving them to increase their efficiency and capacity and at the same time less costly”, he said.
 
F

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2007
Messages
4,764
Likes
125
Points
160
F

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2007
4,764 125 160
Kwa nini tunakazania kujaribu kuvumbua gurudumu?
 
C

Choveki

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2006
Messages
448
Likes
16
Points
35
C

Choveki

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2006
448 16 35
Na hawa Katani Ltd ni akina nani?
 
Icadon

Icadon

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2007
Messages
3,589
Likes
29
Points
0
Icadon

Icadon

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2007
3,589 29 0
Nishasema siku za nyuma wanajeshi wetu inaonekana hawana kazi za kufanya huko makambani, basi wawe wanashirikishwa kwenye shughuli za ujenzi wa Taifa, maana wengine wana profession ila wanazikalia kusubiri huruma ya rais kuwateua.
Hii kitu kama ikifanikiwa basi itakuwa jambo zuri.
 
M

Masatu

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2007
Messages
3,285
Likes
25
Points
135
M

Masatu

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2007
3,285 25 135
Na hawa Katani Ltd ni akina nani?
Hao ni akina Slim Shamte mpango huu ulikuwa kwenye pipeline siku nyingi lakini hakukuwa na support yeyote ya serikali kwa m-bunifu wa mpango huu huyu Shamte.

Its a good project binafsi nilitembelea kiwanda chao pale Tanga and was really impressed nimejitahidi kupata "wawekezaji" from my end huku Ilolangulu sikufanikiwa. Bravo Nyumbu kwa kuokoa mradi huu
 
R

Rwabugiri

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
2,776
Likes
16
Points
135
R

Rwabugiri

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
2,776 16 135
Ofcourse kuliko wanavo kaa kuendelea kula hela ya bure ya walipa kodi, na kupiga wananchi bila hatia, bora washiriki katika shughuli kama hizi.
 
M

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2006
Messages
4,818
Likes
61
Points
145
M

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined May 4, 2006
4,818 61 145
Tanga Company plans to produce 450MW
DAILY NEWS Reporter
Daily News; Friday,December 28, 2007 @20:03

TANZANIA People's Defence Forces' (TPDF) auxilliary company, Nyumbu, in collaboration with Tanga based company, Katani Ltd, expect to generate 450MW of electricity by using biogas. The Ministry of Defence and National Service said in a statement today that power to be generated at Hale in Tanga and other centres would be added to the national grid to boost supply of the energy by the year 2017.

.
Hivi nimesoma vizuri 2017?
 
K

Kasana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2007
Messages
417
Likes
14
Points
35
K

Kasana

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2007
417 14 35
Hao ni akina Slim Shamte mpango huu ulikuwa kwenye pipeline siku nyingi lakini hakukuwa na support yeyote ya serikali kwa m-bunifu wa mpango huu huyu Shamte.
Technolojia ya kutengeneza umeme kutokana na biogas iko siku nyingi tu.
Katika mpango wa baadaye, wafikirie kutengeneza umeme utokanao na bio gas inayotokana na taka zinazozalishwa majumbani, kuokoa mazingira yetu. Kwani taka zitokananzo na mabaki ya mkonge zikizikwa zinaoza.
 
A

Atanaye

Senior Member
Joined
Oct 31, 2007
Messages
153
Likes
1
Points
35
A

Atanaye

Senior Member
Joined Oct 31, 2007
153 1 35
Niliona Picha ya JK akiingia kwenye wanja moja ndani ya nyundo(hummer), hivi ingelikuwa ni nyumbu si ndio ujiko huo?

Hii inaendana na sera ya JK...Uzalishaji, usambazaji na Ufisadi umeme. Tutafika tu.

Atanaye Kijiko.
 
K

Kithuku

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2006
Messages
1,395
Likes
108
Points
145
K

Kithuku

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2006
1,395 108 145
Katika nchi zilizoendelea Majeshi yanafanya mambo mengi sana ya maendeleo kwa ajili ya raia, yako majeshi yanaendesha universities, mahospitali, research centers za kiwango cha juu sana kwenye field kibao (aeronautics, info-tech, biomedical, architectural sciences, economics, security studies,you name it), commercial farming na mambo kibao. Jeshi kazi yake si kukaa kwenye makambi porini kusubiri vita tu. TPDF, ndio, tunawaona yanapotokea majanga ya mafuriko, ajali nk wanavyochangamka kutunusuru, tunashukuru lakini bado nadhani wanapaswa kufanya zaidi ya kusubiri majanga yatokee. Hayo ya hiyo Nyumbu yaweza kuwa mfano mzuri wa kuanzia, lakini bado kuna matatizo. Hii Nyumbu sijaanza kuisikia leo. Nina jamaa zangu niliwakuta chuo miaka ile niliyokuwapo wakimalizia, wakajiunga huko Nyumbu, jamaa wa Engineering. Baadhi wamevaa magwanda sasa, mmoja tulionana mjini keshakuwa meja, lakini nilipomwuliza zaidi ya cheo alichovaa, ametumiaje hiyo "genius" yake huko Nyumbu, hakuwa na jibu, academically na intellectually yuko frustrated, wenzie waliobaki chuo baadhi wameshakuwa associate professors, yeye anajisikia amebaki nyuma. Alikuwa "kipanga" kwenye masuala yake ya engineering si mchezo, lakini sasa imebidi aridhike na hali mpya.

Nasema nini? Jeshi halijatumia vizuri opportunity lililopewa za kuonesha excellence. Hiyo wanayoita Nyumbu naijua jina tu, na mara chache huwa nawaona Kilwa road kwenye maonesho ya sabasaba wakionesha matrekta ya tairi mbili yanayoshikiliwa kwa mkono, ambayo hata sokoni hayapatikani! Maskhara tu! Sasa labda wajitahidi na huo umeme wa maganda ya mkonge pengine utawatoa kimasomaso!
 
F

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2007
Messages
4,764
Likes
125
Points
160
F

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2007
4,764 125 160
The statement signed by the Minister for Defence and National Service, Prof Juma Kapuya, said at the moment Nyumbu oversees the biogas plant at Hale that generates 150KW. "Katani Ltd expects to increase the capacity to reach one MW at every centre within 10 years and plans more centres that can enable them to lift the output to 450MW", said Prof Kapuya.
Hebu tuangalie namba. Hawa jamaa leo wanatoa 150kw. Wanategemea kuiongeza hadi 1 mw katika miaka 10. Halafu wajenge vituo vingine 450 kwa wakati huo huo. Kwa mtaji gani? Na anayezungumza yote haya ni Profesa! Ndiyo maana napinga wanasiasa kujiingiza kwenye mambo ya taaluma. Hiyo Nyumbu si ina mkuu wake? Kwa nini yeye asizundumze? na hayo magari wanayokazania, watamuuzia nani? India walijaribu (mradi wa Sanjay Gandhi) walishindwa, wakaamua kununua teknolojia kutoka Suzuki na kuiita Maruti. Hayo ni magari ya kawaida tuu itakuwa ya kijeshi? Tafadhalini jamani!
 
K

Kithuku

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2006
Messages
1,395
Likes
108
Points
145
K

Kithuku

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2006
1,395 108 145
Hebu tuangalie namba. Hawa jamaa leo wanatoa 150kw. Wanategemea kuiongeza hadi 1 mw katika miaka 10. Halafu wajenge vituo vingine 450 kwa wakati huo huo. Kwa mtaji gani? Na anayezungumza yote haya ni Profesa! Ndiyo maana napinga wanasiasa kujiingiza kwenye mambo ya taaluma. Hiyo Nyumbu si ina mkuu wake? Kwa nini yeye asizundumze? na hayo magari wanayokazania, watamuuzia nani? India walijaribu (mradi wa Sanjay Gandhi) walishindwa, wakaamua kununua teknolojia kutoka Suzuki na kuiita Maruti. Hayo ni magari ya kawaida tuu itakuwa ya kijeshi? Tafadhalini jamani!
Huu uprofesa wa Kapuya hauna mchango wowote kwenye hilo suala la umeme! Ni profesa wa botany, sidhani kama ufahamu wake wa hizo KW anazotaja unatofautiana na wa kwangu mie educationist-turned-anthropologist! Ukiniandikia hizo kwenye karatasi nitazisoma mbele ya waandishi wa habari kama kawa, na tena ukizingatia waandishi wenyewe hawana maswali yenye "uzito", napeta tu!
 
Samweli Mathayo

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Messages
1,523
Likes
1,441
Points
280
Age
52
Samweli Mathayo

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2017
1,523 1,441 280
Tanga Company plans to produce 450MW
DAILY NEWS Reporter
Daily News; Friday,December 28, 2007 @20:03

TANZANIA People’s Defence Forces’ (TPDF) auxilliary company, Nyumbu, in collaboration with Tanga based company, Katani Ltd, expect to generate 450MW of electricity by using biogas. The Ministry of Defence and National Service said in a statement today that power to be generated at Hale in Tanga and other centres would be added to the national grid to boost supply of the energy by the year 2017.

The statement signed by the Minister for Defence and National Service, Prof Juma Kapuya, said at the moment Nyumbu oversees the biogas plant at Hale that generates 150KW. “Katani Ltd expects to increase the capacity to reach one MW at every centre within 10 years and plans more centres that can enable them to lift the output to 450MW”, said Prof Kapuya.

Electricity at the Hale centre is being produced by using sisal leaves residues taken from a mill run by Katani Ltd that produces special papers, the minister said. Prof Kapuya also said in the report that his ministry has started a process of seeking partners to develop motor vehicle manufacturing industries in the country.

Nyumbu also operates an automobile manufacturing industry which has so far managed to assemble and manufacture a total of 26 vehicles christened Nyumbu which are now being used in a number of military brigades in the country. “The company is continuing with research on the vehicles with the aim of improving them to increase their efficiency and capacity and at the same time less costly”, he said.
As it boosted anything? Now is 2017
 
Kirchhoff

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
3,292
Likes
3,407
Points
280
Kirchhoff

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
3,292 3,407 280
Hili ni Jeneza limefunuliwa!
 
strugo

strugo

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Messages
1,779
Likes
1,723
Points
280
strugo

strugo

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2017
1,779 1,723 280
Katika nchi zilizoendelea Majeshi yanafanya mambo mengi sana ya maendeleo kwa ajili ya raia, yako majeshi yanaendesha universities, mahospitali, research centers za kiwango cha juu sana kwenye field kibao (aeronautics, info-tech, biomedical, architectural sciences, economics, security studies,you name it), commercial farming na mambo kibao. Jeshi kazi yake si kukaa kwenye makambi porini kusubiri vita tu. TPDF, ndio, tunawaona yanapotokea majanga ya mafuriko, ajali nk wanavyochangamka kutunusuru, tunashukuru lakini bado nadhani wanapaswa kufanya zaidi ya kusubiri majanga yatokee. Hayo ya hiyo Nyumbu yaweza kuwa mfano mzuri wa kuanzia, lakini bado kuna matatizo. Hii Nyumbu sijaanza kuisikia leo. Nina jamaa zangu niliwakuta chuo miaka ile niliyokuwapo wakimalizia, wakajiunga huko Nyumbu, jamaa wa Engineering. Baadhi wamevaa magwanda sasa, mmoja tulionana mjini keshakuwa meja, lakini nilipomwuliza zaidi ya cheo alichovaa, ametumiaje hiyo "genius" yake huko Nyumbu, hakuwa na jibu, academically na intellectually yuko frustrated, wenzie waliobaki chuo baadhi wameshakuwa associate professors, yeye anajisikia amebaki nyuma. Alikuwa "kipanga" kwenye masuala yake ya engineering si mchezo, lakini sasa imebidi aridhike na hali mpya.

Nasema nini? Jeshi halijatumia vizuri opportunity lililopewa za kuonesha excellence. Hiyo wanayoita Nyumbu naijua jina tu, na mara chache huwa nawaona Kilwa road kwenye maonesho ya sabasaba wakionesha matrekta ya tairi mbili yanayoshikiliwa kwa mkono, ambayo hata sokoni hayapatikani! Maskhara tu! Sasa labda wajitahidi na huo umeme wa maganda ya mkonge pengine utawatoa kimasomaso!
Siasa safi

Uongozi bora

Ardhi

Rasirimali watu..

Anyway uko vizuri Kwa uchangiaji..
Lakni hiyo misingi minne kama haitatekelezwa Nothing else...

acha uongo
 
Forum statistics

Threads 1,237,564
Members 475,562
Posts 29,293,809