Mark Zuckerberg Mmiliki wa Facebook Akiri Kuchakachua Taarifa za COVID-19 Kwa Shinikizo la Biden

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
6,468
10,357
Amekiri kwa maandishi mbele ya Kamati ya Sheria ya Bunge la Marekani kuwa mwaka 2021 walikubali shinikizo la White House kuchuja baadhi ya taarifa.

Full text kutoka CNN iko hapa:-

1. Je hii itamuacha salama Kamala Harris kwenye kampeni
zake?
2. Je hatia ya Mark Zuckerberg ina ina tofauti gani na Pavel Durov wa Telegram?
===

The Meta boss, Mark Zuckerberg, has said he regrets bowing to what he claims was pressure from the US government to censor posts about Covid on Facebook and Instagram during the pandemic.

Zuckerberg said senior White House officials in Joe Biden’s administration “repeatedly pressured” Meta, the parent company of Facebook and Instagram, to “censor certain Covid-19 content” during the pandemic.

“In 2021, senior officials from the Biden administration, including the White House, repeatedly pressured our teams for months to censor certain Covid-19 content, including humour and satire, and expressed a lot of frustration with our teams when we didn’t agree,” he said in a letter to Jim Jordan, the head of the US House of Representatives judiciary committee. “I believe the government pressure was wrong.”

During the pandemic, Facebook added misinformation alerts to users when they commented on or liked posts that were judged to contain false information about Covid.

The company also deleted posts criticising Covid vaccines, and suggestions the virus was developed in a Chinese laboratory.

In the 2020 US presidential election campaign, Biden accused social media platforms such as Facebook of “killing people” by allowing disinformation about coronavirus vaccines to be posted on its platform.

“I think we made some choices that, with the benefit of hindsight and new information, we wouldn’t make today,” Zuckerberg said. “I regret we were not more outspoken about it.

“Like I said to our teams at the time, I feel strongly that we should not compromise our content standards due to pressure from any administration in either direction. And we are ready to push back if something like this happens again.”

Zuckerberg also said that Facebook “temporarily demoted” a story about the contents of a laptop owned by Hunter Biden, the president’s son, after a warning from the FBI that Russia was preparing a disinformation campaign against the Bidens.

Zuckerberg wrote that it has since become clear that the story was not disinformation, and “in retrospect, we shouldn’t have demoted the story”.

The House judiciary committee, which is controlled by Republicans, called Zuckerberg’s admissions a “big win for free speech” in a post on the committee’s Facebook page.

The White House defended its actions during the pandemic, saying it encouraged “responsible actions to protect public health and safety”.

“Our position has been clear and consistent,” it said. “We believe tech companies and other private actors should take into account the effects their actions have on the American people, while making independent choices about the information they present.”
 
sasa kuchuja tu!
Kwa kiswahili ni kuchuja haileti maana sana ila kwa English inaitwa "censorship"

Kwa waandishi wa habari, censorship ya news ni dhambi kubwa.
Screenshot_20240827_200456_Google.jpg
 
Wewe fahamu tu, kipindi cha mlipuko wa Covid 19 hakuna nchi au taasisi ambayo haikuchuja taarifa zake wakati wa kuzitoa kwa umma. Public panic ilikuwa ni kubwa hivyo taarifa zilichezewa mnoo. Na hilo sio ajabu sana.
 
Magufuli alikuwa na mganga mzuri anayeona kwa usahihi si mnaona wenyewe
Hata Magufuli alichezea taifa za Covid kupita maelezo. Habari za kupima mapapai na oil chafu, kutangazia taifa kuwa Covid 19 imetokomezwa kwa maombi ya dini zote, kuweka mtambo wa kufukiza pale Muhimbili nk vyote hivyo vilikuwa ni vitendo viovu vya kuchezea taarifa.
 
Wewe ndio upo nyuma hukumuelewa magufuli

Kitendo cha uwepo wa COVID 19 BONGO kiliathiri saikolojia ya nchi nzima mpaka uchumi kabisa

Ili kulitibu taifa lazima utumie silaha ya imani TIBA YA DINI

Hao maboss wa NRMI akina mwele malechela ni kweli walichalenjiwa kwa kupelekewa sample za mapapai na damu ya mbuzi magufuli alifanya jambo jema sana

Tiba ya mvuke ni tiba asilia inatibu magonjwq mengi mpaka sasa inatumika huku bariadi sema wengi mmekulia mjini hamjui ya mikoani
 
Kutetea ule ujinga wa kudanganya oil na mapapai yalionekana na corona, kikombe cha Madagascar, au maombi kutibu corona, nao ni ujinga daraja la juu zaidi.
 
View attachment 3080776View attachment 3080777
Amekiri kwa maandishi mbele ya Kamati ya Sheria ya Bunge la Marekani kuwa mwaka 2021 walikubali shinikizo la White House kuchuja baadhi ya taarifa.

Full text kutoka CNN iko hapa:-

1. Je hii itamuacha salama Kamala Harris kwenye kampeni
zake?
2. Je hatia ya Mark Zuckerberg ina ina tofauti gani na Pavel Durov wa Telegram?
This only proves what I have being saying all along,lakini ni kama watu wameziba masikio hivi.Hawa watu hawana nia njema na wanadamu kabisa,sio Waafrika tu, watu wasiwaamini kabisa. Lolote wanalosema ni kinyume cha ukweli,ni watoto wa Shetani kabisa.Kumbukeni kazi za Shetani ni kuiba,kuua na kuharibu.Kumbukeni pia kuwa yeye ni baba wa uongo,kwa hiyo ndani yake hamna kweli kabisa,na watoto wake nao ni hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom