PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,229
Msaada jamani
Maisha yangu yako mashakani
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ndani kwangu kuna nge tena mkubwa tu
Nilitaka kumuua kakimbilia chini ya kochi
Sijui nitamtoaje
Nitapata wapi dawa ya kumuangamiza huyu kiumbe hata ya kupulizia tu afe maana mpaka asubuhi sijui atakuwa kahamia wapi
Hapo ndipo unapokuja umuhimu wa kuwa na Faza Hauzi inza Hauzi.Msaada jamani
Maisha yangu yako mashakani
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ndani kwangu kuna nge tena mkubwa tu
Nilitaka kumuua kakimbilia chini ya kochi
Sijui nitamtoaje
Nitapata wapi dawa ya kumuangamiza huyu kiumbe hata ya kupulizia tu afe maana mpaka asubuhi sijui atakuwa kahamia wapi
Mkuu unamjua nge kweli??Mtu una kilo 70 lakini unaogopa kiumbe chenye kilo 1.4
Wa Tanzania sie ni watu wa ajabu ajabu acha tuibiwe tu
Rungu,hit na Dawa za wadudu za kupuliza natumai maduka yote wanauza
Mtu una kilo 70 lakini unaogopa kiumbe chenye kilo 1.4
Wa Tanzania sie ni watu wa ajabu ajabu acha tuibiwe tu
Duh nge ana kilo 1.4 huyo sasa amekuwa kenge maana hata panya wa kawaida hafiki huo uzitoMtu una kilo 70 lakini unaogopa kiumbe chenye kilo 1.4
Wa Tanzania sie ni watu wa ajabu ajabu acha tuibiwe tu
Wewe ni single mama ama ni single by default??
Huyu kaja kuchangamsha tu jukwaa hamna ng'e hapo halafu na nyie mlivyo wa ajabu mnajipinda kumjibu JF kuna vituko kuliko uswahilini.
Basi hapo una mawazo kinoma sijui hata usingizi utaupata kweli
Tafadhali sana usitake kuniharibia uzi wangu.
Mimi sina akili za kipuuzi kama zako
Nahitaji kumuua n'ge
bila shaka hufahamu vyema pita kimya.
Mungu tu ndie anafahamu hapa kojo linagonga chupi nawaza nikojolee glass maana naogopa kutoka hapa nilipo