ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Sipati picha mimi jamani. Wakikutana wanacheeeka mpaka wanagaragara. Esther anamwambia mumewe eti bebi wameniambia nifute picha zako huko inta sijui wanafikiria sijui sura yako
?David anajibu usijali waambie hutaki hata kuniona.
?David anajibu usijali waambie hutaki hata kuniona.