Sawa kabisa mkuu liverpool usisahau kwenda na kamera kabisa ili uje na picha za kutosha!!ikibidi mwambie avue na nguo kabisa umtwange picha ili tuone ukurutu. Uliomganda mwilini,wanacheza na Mungu hawa.
Mkuu unanikosea heshima. Mimi ni mwanaume.Hakuna sheria Tanzania inayotambua kubakwa kwa mwanaume. Kwani hapo kwenye thread kuna jambo gani baya? Efatha!
Wakubwa,
Jaji Rwakibarila hajapooza. Nimeongea na mtu anayeshughulikia matibabu yake muda si mrefu. Ni kweli anaumwa, lakini kwamba amepooza SIO KWELI KABISA! Very unprofessional.
wananchi wa Arusha walilia sana aprili 4 ,ajue wakati anakunywa wine ,wana arusha walimshukuru Mungu ,na hilo ni onyo dogo tu kwa atakaye pindisha haki
Mh. Jaji akiona umemnukuu maneno yake namna hii nadhani atachungilia vipengele ili kukuchukulia hatua za kisheria. Lakini nadhani kwa hali unayotuonyesha hawezi akaanza kuhangaika na wewe. Hujamtendea haki. Kwa kuwa wewe ndiye mmliki wa thread hii futa.