Nyumbani kwa JAJI Rwakibalira


Kwa viwango vya ukandamizaji wa haki ya kua na kujlishwa vya CCM watawala wetu huu ni uzandiki. Mmenyamaza kimya kuhusu Mwanahalisi ili wasitumie haki yao kikatiba kutujulisha.

HII NCHI NI YETU WOTE KANDAMIZENI VYOTE NA KUJITAHIDI KUZIMA FIKRA LAKINI ZITAIBUKA NA PENGINE NA NYINYI WENYEWE KWA NGUVU NA KUUSHINDA UPUUZI HUU.
 
Angekosa ustaarabu kama angetueleza phyisical appearance ya judge yaani kama angesema alivaa nguo imechanika,uso umemshuka,ana aibu n.k lakini amejumuisha tuu hana kosa

Napata shida kukubali kuwa alichofanya ni sawa. Hebu soma comments za watu humu wengi wanaunganisha kuugua kwake na maamuzi katika kesi ya Lema. Pia anatuambia "ni kweli amepooza" kwa hiyo alienda kuthibitisha kama amepooza kweli au la. Anyway, kila mmoja na mtazamo wake.
 

Eti we msiri wa hommie Kaizer unafanya gani hapa?
 
Last edited by a moderator:
Hata mie nakushangaa babu mitaa hii unatafuta nini?
 
hao ndiyo mawakili wetu wa siku hizi..... wenyewe wanajiita 'the learned brothers"
 
Kimaadili, hata tumteteaje mtoa mada, ni kwamba amekatika! Huu sio ustaarabu kabisa, labda awe ameruhusiwa na Jaji mwenyewe!
Mtoa mada anaonyesha tabia ya mtu asiyeaminiwa!
Halafu nina mashaka kama kweli alienda yeye, maana kwa mtu mwenye utashi hawezi kufanya hivi.
 
nampa pole mh.jaji augue pole ni wakati wake sasa ametubu kwa dhambi aliyo fanya ya kumvua ubunge g.lema kule arusha .wananchi na wakazi walihuzunika na kutamka kuwa ulitumwa na kazi ukakamilisha ,walilia sana kwa kuwaondolea mwakilishi wao bungeni ,habari hizi zilikuja kama tetesi na walikuwa wananong,ona kuwa mh ,jaji amepooza .kwa kauli yako pengine wapo wataosoma watakuelewa na wengine hawakuelewa ,ufarijike na uugue pole .
 
Mussa mkanga na wale ma-----yawaliofungua hiyo kesi feki nao wanatakiwa waparalyze hadi utumbo!!wabaya sana hawa watu pamoja na jaji wao huyo!!hivi nyie mnaomwombea maisha marefu mmejiuliza dhahma ambayo ingeweza kutokea kutokana na maamuzi yake ya kiuaji?hivi wananchi wa arusha ambao wengi ni wafuasi wa lema wangeamua kupinga maamuzi yake kwa vitendo ni roho ngapi zingepotelea barabarani?je chuki na majonzi ya wana arusha yangechukua muda gani? Na yangesababisha madhara kiasi gani? The last bullet that would change the history!! Siwezi kumpenda adui eti kisa ni mgonjwa!! Ni unafiki wa ki wendawazimu,ikiwa ungefia kwenye vurugu ambazo zingesababishwa na maamuzi yake ya hovyo ungekuwa makaburini leo,na usingemtetea yule anayeelekea kuja huko kwa maamuzi halali ya mwenyeezi Mungu.
 



WATOTO HATA TUKIWAKIMBIA FACEBOOK BADO WANATUFUATA HADI HUKU??

DAH,,HUKU HAKUWAFAI,HAMSKII??

EBO..!
:frusty::frusty:
 

Nakubaliana na wewe mkuu, zaidi ya hapo the guy is not sensible, hivi mazungumzo yao kuja kuyaanika hapa jamvini alifikiri kwamba jaji hatapata taarifa? Nini hatima ya mahusiano yake na jaji? Mambo mengine sio yakukurupukia.
 

Mwenyezi Mungu atamuafu kwa maradhi yanayomsibu
 
Nakubaliana na wewe mkuu, zaidi ya hapo the guy is not sensible, hivi mazungumzo yao kuja kuyaanika hapa jamvini alifikiri kwamba jaji hatapata taarifa? Nini hatima ya mahusiano yake na jaji? Mambo mengine sio yakukurupukia.
Acheni uzushi,nini kibaya hapo? Kwa taarifa yenu,JAJI amenipigia na kunisifu kwa kutoa taarifa ya kweli. Kuweni makini kihoja. Ujumbe kwa MwaJ pia
 
Nakubaliana na wewe mkuu, zaidi ya hapo the guy is not sensible, hivi mazungumzo yao kuja kuyaanika hapa jamvini alifikiri kwamba jaji hatapata taarifa? Nini hatima ya mahusiano yake na jaji? Mambo mengine sio yakukurupukia.
Acheni uzushi,nini kibaya hapo? Kwa taarifa yenu,JAJI amenipigia na kunisifu kwa kutoa taarifa ya kweli. Kuweni makini kihoja. Ujumbe kwa MwaJ,MWITONGO na wapinzani wengine wa uzi huu pia. Efatha..!
 
Too personal, haikufaa kuleta hapa maongezi, wakati mwingine utaleta hata ya ch.....ni kama umeoa au kuolewa, counsel hii haikubaliki
 
Too personal, haikufaa kuleta hapa maongezi, wakati mwingine utaleta hata ya ch.....ni kama umeoa au kuolewa, counsel hii haikubaliki

Ndugu,niliyoyaweka hapa si personal...personal sijayaweka
 

Madhambi mengine twalipa hapa hapa duniani tukiwa hai!! Cheza na sauti na nguvu ya Mungu wewe!! na ndiyo mwisho wake!! Kumbe aliparalaisi? Ha ha ha ha !! Asante kwa taarifa njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…