Nyumbani kuna matatizo

Nyumbani kuna matatizo

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Japokuwa baada ya kusoma ujumbe huu wa mwenzetu nikacheka sana ila hata mimi ninahuzunika sana kwa hiki kinachoendelea humu kwenye familia yetu.Baba kakamatwa yuko sentiro ila huku watoto ndo hawana habari wanaendelea kutafuta wachumba.Tuwe tayari kwa lolote mawasiliano ya ziada ni ya muhimu.kama una mpenzi wako humu mwambie jina lako halisi
kabila lako
unatoka mkoa gani
wilaya gani
tarafa gani
kata gani
kijiji gani
mtaa gani
nyumba namba ngapi
pia balozi wa mtaa wako anaitwa nani
ili ije iwe rahisi kukupata mpenzi wangu ikitokea kupotezana mawasiliano maana kunaumiza sana hasa kwa umpendae.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-12-15-04-08-36.png
    Screenshot_2016-12-15-04-08-36.png
    20.1 KB · Views: 60
Ahahahaaaaaaa ni mtazamo tu kama ni mtu wa kwanza kuumia kwa kile kinachoendelea humu ni mimi.
 
aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom