Nyumba zinazouzwa na NHC zina ubora?

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,046
12,560
Great thinkers,
  • Wenye uzoefu na nyumba zinazojengwa na shirika la nyumba la taifa NHC watufahamishe, je zina kiwango cha ubora wa kutamani kununua badala ya kujenga mwenyewe?
  • Nimejaribu kuangalia matangazo yao, picha za 3D kabla ya kujenga ni nzuri kweli, ila ukiangalia miradi iliyokamilika zile nyumba naona kama kuna upungufu.
  • Je kwa nini ktk picha zao huwa hawaoneshi ndani palivyo? Je kuna aliyewahi kuona ndani wanavyofanya finishing?

Please mweye uzoefu atufahamishe.
 
Jenga Nyumba yako. Hizo nyumba ni bei ghali, nafasi finyu na hata ubora wake wa mashaka
 
Jenga nyumba yako, utajifunza mengi. Pia waweza Kuwa na Nafasi ya Kutosha hata ya kuweka bustani Za mboga mboga
 
Back
Top Bottom