ngikangalu
Senior Member
- Aug 16, 2017
- 153
- 110
Nzuri umeziona au we ndo muuzaji maana hata picha hatuzioniNzuri kichizi, hizo hazichukui round zinachukuliwa
NimeassumeNzuri umeziona au we ndo muuzaji maana hata picha hatuzioni
Sawa mkuu ila umenifanya nicheke kwa sautiNimeassume
Mbona hamna picha we umeziona wapi?Nzuri kichizi, hizo hazichukui round zinachukuliwa
NimeassumeMbona hamna picha we umeziona wapi?
Hongera kwa kuuza nyumba tuneziona nzuri sana.Ninauza NYUMBA, moja MANZESE DARAJANI karibu na SOKO LA MANZESE na nyingine ZIPO BUNJU USALAMA, kwa MTU mwenye kuhitaji anitafute kwa namba zifuatazo:
0717095366/0713990022/0786583806/0783502420
Sijuwi kama ataelewa ulivyosema....Hongera kwa kuuza nyumba tuneziona nzuri sana.
Ninauza NYUMBA, moja MANZESE DARAJANI karibu na SOKO LA MANZESE na nyingine ZIPO BUNJU USALAMA, kwa MTU mwenye kuhitaji anitafute kwa namba zifuatazo:
0717095366/0713990022/0786583806/0783502420
Hiyo ya Manzese haiko ndani ya Mita 120 za barabara? I guess baada ya Tanesco safisha safisha itasogea na hukoNinauza nyumba, moja manzese darajani karibu na soko la manzese na nyingine zipo bunju usalama, kwa mtu mwenye kuhitaji anitafute kwa namba zifuatazo:
0717095366/0713990022/0786583806/0783502420