Nyumba zinauzwa karibu na soko la manzese

ngikangalu

Senior Member
Aug 16, 2017
153
110
Ninauza nyumba, moja manzese darajani karibu na soko la manzese na nyingine zipo bunju usalama, kwa mtu mwenye kuhitaji anitafute kwa namba zifuatazo:

0717095366/0713990022/0786583806/0783502420
 
Ninauza NYUMBA, moja MANZESE DARAJANI karibu na SOKO LA MANZESE na nyingine ZIPO BUNJU USALAMA, kwa MTU mwenye kuhitaji anitafute kwa namba zifuatazo:
0717095366/0713990022/0786583806/0783502420

Ungeweka pics ingependeza zaidi Mkuu.
 
Hiyo ya manzese inauzwa milioni 600 tu karibuni wakuu
Na hizo za Bunju, moja inauzwa milioni 300 na nyingine inauzwa milioni 450.
Karibuni wakuu. Picha ntatuma sasa hivi.
Hizo bei zinapungua kidogo lakini.
 
Ninauza nyumba, moja manzese darajani karibu na soko la manzese na nyingine zipo bunju usalama, kwa mtu mwenye kuhitaji anitafute kwa namba zifuatazo:

0717095366/0713990022/0786583806/0783502420
Hiyo ya Manzese haiko ndani ya Mita 120 za barabara? I guess baada ya Tanesco safisha safisha itasogea na huko
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom