Nyumba za wageni sinza

Nyumba za wageni sinza

Hapo sasa unatafuta ugomvi...
ni kawaida hizi nyumba kujaa wenyeji ingawa zinaitwa za wageni....
wewe mpe bei.

Utakuta mtu amejaza ametokea Dar es Salaam anaelekea Dar es Salaam
 
Wana jf naomba msaada wa anaefahamu nyumba za wageni nzuri na safi sinza...ziwe zina price range ya twenty five to fifty thousand. Na zisiwe mbali sana na shekilango road. Natanguliza shukrani
Namnaani panaweza kuwafaa wageni wako!
 
Utakuta mtu amejaza ametokea Dar es Salaam anaelekea Dar es Salaam
Ni sawa sasa kama mtu anakaa Kivule,Mabwepande na anasafari ya kwenda Mbeya au Songeau au Sumbawanga/kigoma/Kagera na mabasi ya saa 12 asubuhi si inabidi achukue room sinza ili kuwahi msongamano wa barabara zetu la sivyo atakuta basi limeondoka
 
Wengi huanziaga NAMNANI.. hii ni tangu zamani za kale
 
Yaani wakati nasoma huu uzi, nimejikuta nasikia harufu za vile visabuni!.....Ooops! Halafu ukute chumba kimetoka kutumika muda si mrefu, basi na harufu ya ''dawa ya penzi'' kwa mbaali inasikika!
 
kama una wageni wapeleke kwa Mjumbe wako wa nyumba kumi kumi.
 
Back
Top Bottom