Nyumba za Masanja Mkandamizaji

hakuna lisilowezeka nia, juhudi, na kung'ang'ania kila unapo anguka basi utapata ya kwako
 
Hongera sana Masanja na wasanii wengine waige si kulewa pombe, madawa na uzinzi tu. Mnaleta aibu sana katika jamii.

Mkuu nazani hawa vijana wa madawa ya kulevya watakuwa wameupata ujumbe wako.
 
Hao ndo wanajua kuwekeza kwa ajili ya maisha yao ya baadae sababu huwezi jua nini kitatokea kesho
Congrates
 
Source please!

Nimeona masanja kapost picha ya nyumba yake kijijini kweny FB ila sio nyumba hii

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Source page ya masanja ya facebook kutokuona wewe haimaanishi kuwa hajaposti.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…