Nyumba za Masanja Mkandamizaji

Maswi

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
932
211

Attachments

  • JIJINI.jpg
    JIJINI.jpg
    62.5 KB · Views: 4,386
  • KIJIJINI.png
    KIJIJINI.png
    276.2 KB · Views: 4,304
Hongera sana Masanja na wasanii wengine waige si kulewa pombe, madawa na uzinzi tu. Mnaleta aibu sana katika jamii.

Mkuu nazani hawa vijana wa madawa ya kulevya watakuwa wameupata ujumbe wako.
 
Hao ndo wanajua kuwekeza kwa ajili ya maisha yao ya baadae sababu huwezi jua nini kitatokea kesho
Congrates
 
Source please!

Nimeona masanja kapost picha ya nyumba yake kijijini kweny FB ila sio nyumba hii

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom