Nyumba za Machemli kupigwa mnada!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
Mahakama ya Ukerewe jijini Mwamza imeamuru nyumba za Mbunge Machemli kupigwa mnada ili kulipia deni.

sijajua ni deni la nini so far!

Source:Magazetini Asubuhi
 
Hii ya kubadili gia angani imewaathiri hawa wabunge vijana ile mbaya.

Mgao uliishia ufipa tu
 
Kuna faida gani kutuletea habari za mtu anayedaiwa huku Jf.
Mimi sioni umuhimu wake unless unamchafua tu.
Kudaiwa sio issue sana karne hii.
 
Hii habari imekaa kishambenga kama wakina mama wa tandale kwa tumbo.....

Mtoto wa kiume unafurahiaje shida na tabu za mwanaume mwenzio au kwa kuwa wewe unakaa kwenye kibanda cha urithi basi unaona sawa tu....
 
Mahakama ya Ukerewe jijini Mwamza imeamuru nyumba za Mbunge Machemli kupigwa mnada ili kulipia deni.

sijajua ni deni la nini so far!

Source:Magazetini Asubuhi
Una uhakika machemli ni mbunge? Act wana mbunge mmoja tu nae ni zito kabwe
 
Hiki kiasi kidogo cha uelewa kinatisha. Tangu lini mahakama ya ukerewe ikawa jijini Mwanza?? Ni aibu. Ndiyo maana taarifa zako zinatia wasi wasi.
Mahakama ya Ukerewe jijini Mwamza imeamuru nyumba za Mbunge Machemli kupigwa mnada ili kulipia deni.

sijajua ni deni la nini so far!

Source:Magazetini Asubuhi
Zi
 
mwanaume bila kudaiwa mjini akili haikai sawa
ukisumbuliwa sumbuliwa utapata mbinu mpya za kutafiluta hela au hata kama kuiba au kukopa
 
Back
Top Bottom