Nyumba za kupanga ni degree tosha

Dah me nakumbuka nilivyoanza maisha nilianza kwa mbwembwe nikawaaga home naenda kupanga huku mfukoni nina Millions 4.5.Nikanunua kitanda na godoro 6 x 5 then nikanunua na jiko la gesi nikazama Chanika nikapanga geto la nje.Home ilikuwa sio mbali na home mana home ni goms tu.

Katika harakati za maisha nikapata ka binti ka mwenye nyumba nikawa nakatomba kila siku usiku na siku nyingine mara mbili pamoja na asubuhi.

Sitasahau siku niliposhtuka usingizini kukutana na mashekhe na wazazi wa mtoto na majirani usiku wananigongea mlango wakisema "Kazoea huyoooo" ,yani huko nje ni vigeregere huku mimi natetemeka kuwa leo ndio mwisho wangu.. ila cha ajabu binti wala hawazi na hana hofu

Nikatoka nikafungishwa ndoa ya mkeka ***** japo nilikuwa mkristo wakanisilimisha na kupewa jina jipya.

Nikakaa na mke wangu siku tatu then nikasema hawanijui hawa,nikatoroka na kuwaachia kila kitu then nikarudi home na nikawa natoka nje usiku tu kwenda misele na baada ya week nikamweleza mshua na bi mkubwa kila kitu wakanambia nenda Tabora kakae huko Miezi 6 ndio urudi.

Dah huko Tabora nikapata kadema ka kiarabu na kwa vile nilikuwa na mawe kama M2 hivi haikuwa shida kunipetipeti na hapo ndipo ujanja wangu ulipoishia na nikaweka ndani mpaka leo.

Mtoto ni fundi na anatombana utadhani amechanjiwa
Haa ha ha...!! Aisee so yule ukamuachia geto kabisaa...
 
Nimehamia hapa Tandika karibu na chuo cha bandari nimepakana na uwanja wa mpira wa miguu maarufu kama mwembeyanga nimeupenda huu mtaa jinsi ulivyochongwa street road kama magomeni mapipa changamoto zilizopo ni kwamba vjana wengi wa huku hawana kazi wapo wapo tu kwa hyo kwa kuwa naenda kazini asubui na kurudi mchana hapo ndo napata changamoto nikiwa narudi wananitolea macho sana hadi naogopa isitoshe na hizi uniform za kazini basi dah wakisoma nembo imeandikwa ya shati imeandikwa CRDB umri wangu na wao unaendana wanazidi kudata nafikiria kuhama now
Hapo mahali napajua vizuri, sio pazuri hama tafuta sehemu nyingine yenye utulivu
 
HAPA NILIPOPANGA MZEE WA NYUMBA ANAKAA NA NA MA BINTI ZAKE WAWILI AGED 20S hv NA PIA ANAFANYA KAZI ZAKE ZA KI OFICE HUKO
KINONDONI ,NA WATOTO WAKEE WA KIKE MASHALAAAAAHHHHHHHH!!!!!!!!!! WATOTO WA KIKE WOTE WANA FIGURE MATATA (NAMBA 8) ASEEEEEEEEEEE ***** MTOTO USIKU HATUMWI DUKANI ASEEEEEEEEEEEEEEEEEE ********


SASA NIPO NA MUWAZIA MMOJA LEO MCHANA NIMEKUTANA NAE GETINI ASEEEEE UZURI YUPO SIMPLE TUUU ASEEEEEEE NA NI TALKACTIVE KINOMAAA SANA YAAAANI MAJIRANI WOTE WANA MU APPRECIATE SANA YAAAANI



WAZEE NIPENI USHAURI NISABABISHE
MAAFA AU NIHESHIMU TUUU MZEE WA WATU!!
 
Mimi mama mpangaji wangu ni kichomi, Leo anakuja na taratibu hizi kesho zingine. Sasa hivi huwa na mwacha azozane na wife tu Mimi huwa namsalimia mkimya kama fala vile, ila namuhesabia siku mana kuna siku atapokutana na Mimi ndio atajua huyu fala kumbe ana ghadhabu na anampenda sana mke wake
 
Choo hakija ezekwa juu, Asa mtu atawezaje kunya huku ananyeshewa na mvua mgongoni.
 
Kero Kubwa Kuliko Zote Ni Hii Ya Wapangaj Wa Kike Kusukia Karibu Na Choo Halafu Wewe Wakati Huo Umeshikwa Na Tumbo La Kuhara Yaan Dah Huwa Nataman Hata Utokee Muujiza Kuharisha Pila Kujamba Ile Paaarapaaapaah
 
HAPA NILIPOPANGA MZEE WA NYUMBA ANAKAA NA NA MA BINTI ZAKE WAWILI AGED 20S hv NA PIA ANAFANYA KAZI ZAKE ZA KI OFICE HUKO
KINONDONI ,NA WATOTO WAKEE WA KIKE MASHALAAAAAHHHHHHHH!!!!!!!!!! WATOTO WA KIKE WOTE WANA FIGURE MATATA (NAMBA 8) ASEEEEEEEEEEE ***** MTOTO USIKU HATUMWI DUKANI ASEEEEEEEEEEEEEEEEEE ********


SASA NIPO NA MUWAZIA MMOJA LEO MCHANA NIMEKUTANA NAE GETINI ASEEEEE UZURI YUPO SIMPLE TUUU ASEEEEEEE NA NI TALKACTIVE KINOMAAA SANA YAAAANI MAJIRANI WOTE WANA MU APPRECIATE SANA YAAAANI



WAZEE NIPENI USHAURI NISABABISHE
MAAFA AU NIHESHIMU TUUU MZEE WA WATU!!
Mkuu ..hakuna vyumba vingine hapo nije kupanga .... Duhh !!! Fanya mpango namimi nihamie hapo aisee
 
Ukiibiwa hawajui aliyeiba ila ingiza mwanamke atajulikana mtaa mzima

yule jirani yangu wa kufua chupi tu na kujaza kamba bado yupo

bado nawakomesha kwa kuchoma viungo vya pilau kila ninapopata nafasi
😂😅😅
 
Sijawahi panga nyumba ambayo kuna wapangaji zaidi ya watatu. Na huwa nachukua unit inayojitegemea hata kama ni chumba kimoja. Sema majirani zangu hupata tabu sana. Yale mambo yetu huwa ni bandika bandua.
 
Back
Top Bottom