Nyumba za kupanga ni degree tosha

Ukihamia nyumba ya kupanga njia pekee ta kupunguza mneno mnemo ni kugegeda wapangaji wenzako na majirani
Utaishi kwa raha sana maana ujinga ujinga hutoletea mtu akitaka kufungua mdomo wewe unamletea za kuvuana chupi watakuogopa!
mbaya sn hii
 
tandale enzi hizo....choo cha shimo na kilikuwa na maji full time,niilijifunza sarakasi pale kwani kasi ya kushusha mzigo na kuruka pembeni lazima ziende sawa,vinginevyo utakoga maji ya chooni
duh..... km unaharisha
 
Nilikaa nyumba moja mkoa mmoja vyumba zaidi ya 20 maji ya kununua , madumu 6 shs 3000 nilipata shida sana niliishi miezi 8 sitasahau, nimeathirika sipendi kwenda chooni mpaka leo nakaa asubuhi hadi jioni kazini, nirudi nyumbani ndio niingie chooni kwangu siwezi, napata shida kushare choo na mtu yoyote. Siwezi kuhadithia nitawatapisha, bafuni ukidondosha sabuni bahati mbaya ndio ukatafute nyingine huwezi okota hata kama huna hata mia ndani utaoga maji matupu.Sitaki kukumbuka yale maisha.
 
wazinzi utawajua tu.....
 
ukimwi ulipona?
 
pole mkuu
 
Nilimega wife wa jamaa kimasihara, siku nilimuomba cd akanipa cd kibao pamoja na za X, daa mzee mzima nikajifikiria na mm nikampa cd zangu za mambo ya utamu, demu si akazama room kucheck, baada ya muda nasikia miguno ya kwenye cd, nikamgongea mlango kuzama room kwa jamaa demu mwepesi nikajilia vyangu kiulaini ila demu alikuja kupata mimba alisemaga ya kwangu na kashazaa na jamaa analea. Wanaume tunakazi sisi
 
Haaaaaaaa barakuda? Maukii? Au Kabla ya relii?
 
Nilishawahi kataa chumba na sebule sababu mwenye nyumba alikua ana duka kwa nje ila alitaka wapangaji tuwe tunaweka umeme yeye haweki pia alitaka atuuzie unit za umeme kwa shs 350 aisee nilimweleza hio shughuli mimi siiwezi
Aisee huo ujinga ulikuwaa
 
Duuh maji shida sana ilikuwa...singida nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…