Nyumba yetu ya familia imepigwa X ya kijani?

Eliud Bunju

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
375
Reaction score
707
Naomba anayefahamu kuhusu maana ya X ya kijani ni Nini?

Maana hapo mwanzo mwaka 2006 nyumba yetu ilivunjwa sehemu yote ya mbele lkn safar hii wamekuja kuweka X ya Kijani. Nyumba yetu hipo barabara kuu eneo la riverside.
 
Hel

Hela hio
 
X ya kijani? Mpiga kura wa ccm?
 
Back
Top Bottom