NYUMBA YANGU HIYO JAMANI MNASEMAJe?

Ayaaa weeeee ni bora banda la makuti kuliko la mawe watafuta kufa wee
 
Hapo nitalala najua zitanisaidia kwenye mchakato wangu wa kuanza kuwa fisadi.
Nalog off
Je kama likianguka jiwe na umekufa kabla ya hiyo wiki moja kumalizika itakuwaje?

Linaangushwa na nini kwa mfano?
Linaangushwa na Mtetemeko wa Ardhi angalia video hapo chini


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…