Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,140
Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.

Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo mbili zinarudi serikalini.

Source: ITV Habari
 
Hapo itakuwa walinunua wasiohitajika, nchi za Afrika tuna matatizo sana
 

Mkuu, sauti yako unayopaza ni ya maana sana lakini sio kwa Afrika yetu na Watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…