Nyumba ya Obama baada ya kustaafu

Nyumba ya Obama baada ya kustaafu

Ni nyumba ya kupanga.!!
Rais wa Marekani Barack Obama atapanga nyumba Washington, D.C baada ya kuondoka katika Ikulu ya Marekani (White House) hapo mwakani ambapo rais mwingine wa taifa hilo ataapa kushika madaraka baada ya Barack Obama kumaliza mihula yake miwili ya uongozi.

Nyumba hiyo ilijengwa mwaka 1928, ina vyumba 9 vya kulala, vyumba 8 vya kuogea. Nyumba hiyo yenye muonekano wa kuvutia iliuzwa zaidi ya dola milioni 5 (TZS bilioni 10.9) mwaka 2014.

Rais Obama amesema kuwa yeye na familia yake watabaki Washington baada ya kutoka Ikulu ya Marekani (White House) Januari 2017.

“Tutaendelea kuishi in Washington D.C. hadi hapo Sasha (Binti yake mdogo) atakapohitimu sababu kumhamisha mwanafunzi shule katikati ya muhula ni ngumu” alisema Rais Obama.

Hizi hapa chini ni picha za nyumba atakayoishi Rais Obama atakapotoka madarakani.

160525142925-obamas-house-1-exlarge-169.jpg

Muonekano wa nyumba kwa nje
160525143238-obama-house-10-exlarge-169.jpg

Chumba cha kulala
160525143256-obama-house-11-exlarge-169.jpg

Sebuleni
160525143312-obama-house-12-exlarge-169.jpg

Jikoni
160525143327-obama-house-13-exlarge-169.jpg

Sehemu ya kupunga upepo
Asante kwa msaada wako nilikuwa natafuta miwani yangu ya kusomea hapa siioni.
 
Hivi huwezi kuwa Rais kisha ukaishi off Cam pas? Yaani usiwe boarding kama Magu pale Magogoni!
 
Hiyo $6million uilete bongo utashusha kitu cha hatari sana. Sh. 12 billion, sijui ni mansion gani hilo bongo..daah!!
 
Upuuzi mtupu, hujatoa sababu zilizokufanya useme familia hizo ni mifano ya kuigwa!!
 
Kweli 96% ya maongezi ya vijana ni pumba!
 
Back
Top Bottom