Nyumba ya Obama baada ya kustaafu

Emanzi

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
261
118
19 spectacular photos inside Obamas’ new home
1110783-o-1464244252.jpg

We take a look inside Obama's new home PHOTO: WASHINGTON FINE PROPERTIES VIA DAILY MAIL

Come January, US President Barack Obama and family will have to vacate the White House and move to a new home.

The Obamas have chosen to move to a mansion in the upscale Kalorama neighborhood of Washington, a mere two miles from the White House, according to New York Times.

‘Obama out’: president gets in final laughs with US media

The 8,200-square-foot, nine bedroom house, valued around $6 million, according to several real estate websites, with an estimated monthly rent of $22,000 on Zillow, is owned by Joe Lockhart, a former press secretary and senior adviser to Bill Clinton.

“It’s a very quiet neighborhood; that’s part of the reason why all of us like it there,” said Tony Podesta, who lives two doors from the house the Obamas will rent. Many times a day, taxis can be seen making their way to the Islamic Center on the block for prayers, according to NYT.

5 best moments from White House Correspondents’ Dinner 2016

Although Obama has a house in Chicago, he intends to remain in Washington until his daughter Sasha finishes high school.

We take a look inside Obama’s new home:

0-o-1464244499.jpg

PHOTO: Gabriella Demczuk for The New York Times

0-image-1464244837.jpg


0-O-1464245034.jpg


Obama in ‘excellent’ health, still using nicotine gum: doctor

0-O-1464245099.jpg


0-O-1464245155.jpg


0-a-1464245447.jpg


0-O-1464245202.jpg


Obama has wish about Bin Laden’s last moments

0-O-1464245250.jpg


0-O-1464245299.jpg


0-Oa-1464245344.jpg


0-Oa-1464245395.jpg


0-Oa-1464245535.jpg


0-Oa-1464245574.jpg


0-Oa-1464245612.jpg


0-a-1464245679.jpg


0-a-1464245720.jpg


0-Oa-1464245816.jpg


0-Oa-1464245859.jpg


0-Oa-1464245906.jpg




PHOTOS: WASHINGTON FINE PROPERTIES, LLC


Read more: Barack Obama , US
 
Ni nyumba ya kupanga.!!
Rais wa Marekani Barack Obama atapanga nyumba Washington, D.C baada ya kuondoka katika Ikulu ya Marekani (White House) hapo mwakani ambapo rais mwingine wa taifa hilo ataapa kushika madaraka baada ya Barack Obama kumaliza mihula yake miwili ya uongozi.

Nyumba hiyo ilijengwa mwaka 1928, ina vyumba 9 vya kulala, vyumba 8 vya kuogea. Nyumba hiyo yenye muonekano wa kuvutia iliuzwa zaidi ya dola milioni 5 (TZS bilioni 10.9) mwaka 2014.

Rais Obama amesema kuwa yeye na familia yake watabaki Washington baada ya kutoka Ikulu ya Marekani (White House) Januari 2017.

“Tutaendelea kuishi in Washington D.C. hadi hapo Sasha (Binti yake mdogo) atakapohitimu sababu kumhamisha mwanafunzi shule katikati ya muhula ni ngumu” alisema Rais Obama.

Hizi hapa chini ni picha za nyumba atakayoishi Rais Obama atakapotoka madarakani.

160525142925-obamas-house-1-exlarge-169.jpg

Muonekano wa nyumba kwa nje
160525143238-obama-house-10-exlarge-169.jpg

Chumba cha kulala
160525143256-obama-house-11-exlarge-169.jpg

Sebuleni
160525143312-obama-house-12-exlarge-169.jpg

Jikoni
160525143327-obama-house-13-exlarge-169.jpg

Sehemu ya kupunga upepo
 
Haijafikia hadhi ya ile Mansion ya Mstaafu wa awamu ya tatu aliyoijenga kule Tanga..
 
Tuwekeeni na ile ya msoga ili tufananishe hapa.Rais wetu mstaafu anajua kuchagua.
 
Kitu cha msoga matata sanaaaa.. Jamaa alivyomaliza eti akachukua helkopta kumpeleka msoga.. Afu jioni yake karudi tena dsm.. Ha ah haaa Jk bwana
Mimi nilibaki nikiwa najichekia tu,hivi mizigo waliipakia,ilibaki au ilitangulia.
 
Back
Top Bottom