Nyumba ya kupangisha inahitajika arusha mjini bei btn 100,000/= to 150,000/=

Tanganyika50

Member
Dec 8, 2011
97
19
Habari za leo wakuu.
Nyumba ya bedroom mbili au tatu inayojitegemea inahitajika kwa kupangisha arusha mjini.
Niko open to negotiation lakini haswa nahitaji katika viwango nilivyo vitaja.
Mwenye taarifa zozote tafadhali tujulishane.
Natanguliza shukwani.
Mtu anaweza kuni PM pia.
 
Back
Top Bottom