nyumba ya kupanga inatafutwa arusha!!!!!

nyumba ya kupanga inatafutwa arusha!!!!!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,121
Reaction score
31,644
wakuu natafuta nyumba urgently.
iwe single self maeneo ya mjini karibu na barabara ya moshi arusha.mwenye kufahamu anipm fasta.
 
Jaribu kucheki na Crashwise
 
Jaribu kucheki na Crashwise
Mkuu nadhani katika watu wa Arusha wewe unamju Crashwise tu, Ok hebu mcheki Filipo, LiverpoolFc, PakaJimmy, EasyMutant wanaweza kukusaidia tatizo lako.
 
wakuu natafuta nyumba urgently.
iwe single self maeneo ya mjini karibu na barabara ya moshi arusha.mwenye kufahamu anipm fasta.
Halafu Jingalao sema hiyo nyumba i range kutoka Tshs ngapi mpaka ngapi? Kwa uzoefu wangu nyumba Arusha ni kuanzia Tshs 100,000.00 - 300,000.00 kulingana na stds na eneo la nyumba hiyo.
 
njoo nikupeleke matejoo upo yatari ila kunywa gongo muhimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom