Nyumba ya kupanga inahitjika

Rose

Member
Jul 30, 2007
5
0
(Amendment ya tangazo la tarehe 15.03.2010)
Natafuta nyumba ya kupanga ambayo ipo tayari kwa kuhamia sasa hivi.
iwe na vyumba 2 vya kulala, sitting room, choo/bafu, jiko,maji, umeme,
parking ya gari kuanzia 2, na usalama.
maeneo: chang'ombe, mivinjeni, kinondoni, makumbusho, kijitonyama, survey,
msasani, namanga, mwenge.
bei 250,000/- 280,000/- kwa miezi 6, baada ya miezi 3 ntamalizia iliyobakia.

tafadhali piga namba hii : 0715 400 800

Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom