Nyumba ya kupanga inahitajika haraka

Nyumba ya kupanga inahitajika haraka

md4doctor2000

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
736
Reaction score
315
Nyumba ya kupanga inahitajika haraka. Iwe maeneo ya Mwenge, Kijitonyama, Sinza, Makumbusho au Makongo.

Vyumba viwili hadi vitatu vya kulala na iwe na uzio unaojiyegemea. Kodi kati ya 250,000/= hadi 300,000/= kwa mwezi.

Aliyenayo, tafadhali ani PM!
 
Back
Top Bottom