nyumba ya kisasa

nyumba ya kisasa

ALLAH atufanikishe na atujaalie mwisho mwema.
Umenena maneno ya busara sana, ALLAH akuzidishie kila la kheri.

Nawe pia...atupunguzie adhabu za kaburi inshaallah amina....
 
My dream house ni kujenga pepo yangu maana huko ndiko kwenye maisha ya kudumu...
Mungu nizidishe wepesi wa kufanya amali njema....uwajaalie na waja wako wengine sote tuwe na husnul hatimah...
Cc mimi49 Washawasha MziziMkavu nduki..

'Maasha-Allah................walaaa haula walaaa quuwata illaa bil laahyl adheem,jazaakallahul khayrah'
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom