nyumba ya kisasa

nyumba ya kisasa

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
3,140
Reaction score
2,269
this is my dream house. weka ya kwako tuione
 

Attachments

  • dream house.jpg
    dream house.jpg
    73 KB · Views: 684
It also started like a dream...vision....then mission...then achievement. If you don't have dreams u won't go nowhere

You are right; you must be a dreamer in order to succeed in life!!!
 
My dream house ni kujenga pepo yangu maana huko ndiko kwenye maisha ya kudumu...
Mungu nizidishe wepesi wa kufanya amali njema....uwajaalie na waja wako wengine sote tuwe na husnul hatimah...
Cc mimi49 Washawasha MziziMkavu nduki..

Amin farhina maana yatubidi kukumbuka ile kauli ya "Inna Lillah wa Inna Lillah Raaj'un"
 
Last edited by a moderator:
My dream house ni kujenga pepo yangu maana huko ndiko kwenye maisha ya kudumu...
Mungu nizidishe wepesi wa kufanya amali njema....uwajaalie na waja wako wengine sote tuwe na husnul hatimah...
Cc mimi49 Washawasha MziziMkavu nduki..

ALLAH atufanikishe na atujaalie mwisho mwema.
Umenena maneno ya busara sana, ALLAH akuzidishie kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom