Nyumba ya gorofa moja

Nyumba ya gorofa moja

Ndo nasemea yaani boma peke yake.Sijamtisha,Ninalo nimeliezeka likanishinda finish.Fundi mwenyewe kujenga tu kuanzia msingi hadi ghorofa ya kawaida anakula kuanzia 10-20M.Kuna kitu kinaitwa Slab kinakula pesa hatari.Ukitumia roof za Nabaki Afrika ndo usiseme.Ukijifanya kulinyima cement linaporomoka.Linakula nondo usipime.
Boma na kuezeka kwa sqm 210 nilijengewa kwa tshs 87mil kama kila kitu ni juu fundi. Lkn ukinunua ww materials inaweza fika 100mil. Unaposema 300mil nakushangaa labda na finishing
 
Boma na kuezeka kwa sqm 210 nilijengewa kwa tshs 87mil kama kila kitu ni juu fundi. Lkn ukinunua ww materials inaweza fika 100mil. Unaposema 300mil nakushangaa labda na finishing
Naweza kuwa nimeover estimate lakini msingi 35M slab 35M kuezeka 35M.Pembeni.kuna nguzo zinatoka chini hadi juu.Halafu kuna tofali za kuta.Tofali zake na ratio ya cement si mchezo.Hujamlipa archtect,Engineer,transport.Basi nimepunguza iset kwenye 200M.Na lazima uwe na adabu ya matumizi ya fedha.Yale mambo yetu ya kunywa maji ya rangi ya mende........Ukubwa wa mjengo naonunachangia of course.Ukiona mtu anaishi kwenye ghorofa mmh
 
Ndo nasemea yaani boma peke yake.Sijamtisha,Ninalo nimeliezeka likanishinda finish.Fundi mwenyewe kujenga tu kuanzia msingi hadi ghorofa ya kawaida anakula kuanzia 10-20M.Kuna kitu kinaitwa Slab kinakula pesa hatari.Ukitumia roof za Nabaki Afrika ndo usiseme.Ukijifanya kulinyima cement linaporomoka.Linakula nondo usipime.

Hahahaha....mkuu umenichekesha kweli. In all ujenzi uendani na mfukoni kwa muhusika. Huu ujenzi WA online specially JF unatuumiza wengi. Mpaka tunaazimana ramani. Lazima nyumba zitushinde.....
 
150mil kwa structure ya 14m to 13 m ni hela nyingi sana.

Mm ni fundi, labda kama nafanya chini ya kiwango
Sina ubishi Mkuu kama ni Fundi ,na una uzoefu wengind tunajiuliza kama nyumba za kawaida zinakula zaidi ya 60 he ghorofa ?
Ghorofa inakamua wewe.Andaa Mil.300 Minimum.Kuna msingi.Kuna slab.Kuna kuezeka.Ya kuanzia.lazima mil.50 uwe nayo mfulomi
 
nyumba ya kawaida inachukua 40-60M, kwa ghorofa moja weka angalau 100M ila ukiwa na 150M ndo utatoa kitu cha ukweli
 
Kwa yeyote mwenye 82mi -90mil anahitaji nyumba ya gorofa moja, yenye ukubwa usiozidi sqm 240 anitafute. Gharama hii ni mpaka kuezeka bila finishing, pia eneo tambalale na awe dar.
 
Weka 200 million tafuta mtaalamu wa kununua vifaa uwe naye kama utalipa Engineer Labour charge tu vifaa ununue wewe.
Usinunue na mafundi nunua n.a. mtaalamu wa manunuzi adhibiti utapeli. 0713455737
 
.. binafsi nadhani Mafundi wengi wana psychology nzuri sana ya kukupa moyo ili uanze ujenzi...
..maana hata ukimaliza hzo 60mil jengo halijaisha utapewa sound na sababu kibao za kwa nn zimeishia njiani..
..In short huwezi jenga ghorofa nzuri kwa 60mil in todays prices ..angalau 100mil hv then inategemea na finishing unataka iweje.. maana hapo ndiyo tofauti kubwa inapojitokeza kwenye ujenzi..
Simple finishing utafikia ghorofa la 100mil mpk 150mil na mwingine finishing itamfikisha kwenye 300mil..
 
Mkuu nyumba ya kawaida unayojenga kwa 60mil bila finishing inakuwa na ukubwa gani?
Boma la nyumba ya bedroom 3 na mazagazaga mengine kwa kawaida halizidi 25M, hizo za ziada ni finishing kutokana na preferences zako,
Inaweza zidi 60M kama ukiweka mbwembwe nyiingi, ila kwa 40M unaweza jenga basic house na kuanza kuishi ndani
 
Hapo umeeleweka
 
Mpe hela qs akufanyie boq upate realistic cost, kwa uzoefu wangu nyumba ya 13 x 14 million 60 haitoshi utaishia njian, inatosha kwa nyumba ya chini ya square metre 100 - 120. ( 10 x 12)
 
Sina ubishi Mkuu kama ni Fundi ,na una uzoefu wengind tunajiuliza kama nyumba za kawaida zinakula zaidi ya 60 he ghorofa ?
Ghorofa inajengeka kwa sababu unajenga taratibu.Mafundi wa ghoroga wanafahamu kabisa mtu yeyote anayetaka kujenga ghorofa lazima yuko safi.mfukoni kwa hiyo wanakuja na quotation iliyochangamka.Mleta hoja usiogope,thubutu.
 
Anasema nipeleke kufanyiwa BOQ, eti nakwenyewe ni toe hela

Ajira ya mtu hiyo, kasomea miaka si chini ya mitatu afu akufanyie bure.
Simple, ukitaka uliza hao mafundi ila jua kuwa unaenda ukiwa blind, hutajua bajeti yako itatosha au itafail.
Nakushauri tafuta QS ongea naye akufanyie kwa bei ndogo ili uwe unajua kabisa gharama kiasi gani unahitaji.
 
Ramani yangu ni m14 urefu na 13 upana. Nataka nijenge gorofa moja. Chini na juu kunafanana. Mpaka nikiezeka nitatumia sh ngapi? Fundi kasema isipungue 60mil. Je ni kweli? Kwa mwenye uzoefu tafadhali
Usisahau kuweka lift maanake kuna umri ukifika hapo ghorofani utaona kama ghorofa ya sitini.
 
Back
Top Bottom