Nyumba ya ghorofa Inahitajika kununuliwa

ica

Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
7
Reaction score
5
SIFA: Iwe haijakamilika (half-built). Iwe ina vyumba vinne vya kulala. Iwe imejengwa katika kiwanja ambacho kimepimwa na kina hati miliki. Kiwanja chake kiwe na ukubwa usiopungua mita za mraba 700. Nyumba iwe maeneo ya Boko, Bunju, Mbweni, Mivumoni au kigamboni. Bei ya mauzo isizidi 110mil. Kama unayo tuma picha zake na maelezo katika whatsapp 0755312233.
 
SIFA: Iwe haijakamilika (half-built/PAGALA).Iwe ina vyumba vinne vya kulala.Iwe imejengwa katika kiwanja ambacho kimepimwa na kina hati miliki. Kiwanja chake kiwe na ukubwa usiopungua mita za mraba 700. Nyumba iwe maeneo ya Boko, Bunju, Mbweni, Mivumoni au kigamboni. Bei ya mauzo isizidi 110mil. Kama unayo tuma picha zake na maelezo katika whatsapp 0755312233. NB; Hapo chini ni mfano wa pagala

HALF BUILT.jpg
 
hili kanisa au ukumbi mbona silielew
 
Back
Top Bottom