Nyumba ya kupangishwa inahitajika Boko.

Muhamala

Senior Member
Oct 1, 2017
101
88
Wakuu kwema nyumba ya kupangishwa inahitajika maeneo ya boko isizidi mbele ya boko chama. Bila shaka humu tuna ma landlord.

Iwe ndani ya fence.
Vyumba viwe viwili kimoja master.
Umeme na maji.
Isiwe mbali sana na barabara.

Bajeti ni 100,000 - 150,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom