Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Hii nyumba ni simple na ina ghorofa (three floors). Haivutii macho, mwenyewe alitaka tu sifa ya kwamba ana ghorofa, na pengine angejenga nyumba ndogo ya kawaida na simple umaliziaji wake ungekamilika na kuleta mvuto.
Daah nimeipenda sana hii ramani ,ila*unavo sema kuwa*gharama yake itakuwa ndogo,unamaanisha ni kiasi gani??????
kwa sababu suala la gharama ndogo au kubwa huwa linategemea kutoka mtu mmoja hadi mwingine. labda niambie gharam ndogo ni kiasi gani ????kwako Mkuu*.
Thanks a million.... Some marketing approaches really freak me out.Haivutii macho kwa mujibu wa nani?
Kwanini umtake ajenge ndogo, ya kawaida na kumpangia "ili imalizike. haraka na kuvutia" wakati hujui mipango yake ikoje?
Mnashangaza sana kutuwekea comparison ya mvuto baina ya a simulated complete house and a real unfinished one
Haivutii macho kwa mujibu wa nani?
Kwanini umtake ajenge ndogo, ya kawaida na kumpangia "ili imalizike. haraka na kuvutia" wakati hujui mipango yake ikoje?
Mnashangaza sana kutuwekea comparison ya mvuto baina ya a simulated complete house and a real unfinished one
Hii nyumba ni simple na ina ghorofa (three floors). Haivutii macho, mwenyewe alitaka tu sifa ya kwamba ana ghorofa, na pengine angejenga nyumba ndogo ya kawaida na simple umaliziaji wake ungekamilika na kuleta mvuto.
Sio rahisi kiasi hicho kwani ramani hutegemea mahitaji yako kama jiko, sebure, vyoo, master,vyumba, study room nk na uhusiano(location) kati ya kimoja na kingine.
Ramani za ujenzi wa nyumba husumbua vichwa sana vichwa wengi wanapohaha kutafuta na kubuni ramani iweje. Na pengine tunaangukia kuchagua ramani ambayo umalizaji wa paa lake hutugharibu sana pesa. Nyumba kama hii ni very simple, low cost lakini ina mvuto.
Ramani hii inatoa fursa ya kuongeza vyumba kirahisi maana alternative ya kuendeleza upanuzi wa nyumba yako ni wazi na rahisi. Na hata mpango wa ujenzi kwa awamu una mshiko sana hapa.
Tunaweza kukwepa gharama kubwa za ujenzi wa nyumba kwa kutumia ramani ya mjengo wa kawaida ambao hautatugharamu sana pesa ila tu umaliziaji wake tu ukaweza kuwavunja shingo wapita njia wakaahau kama kofia walizovaa zimedondoka baada ya kufika mbali toka kwenye nyumba yako na kupata wageni wasiotarajiwa kuiba ramani na umaliziaji wako.
Haivutii macho kwa mujibu wa nani?
Kwanini umtake ajenge ndogo, ya kawaida na kumpangia "ili imalizike. haraka na kuvutia" wakati hujui mipango yake ikoje?
Mnashangaza sana kutuwekea comparison ya mvuto baina ya a simulated complete house and a real unfinished one
Hii nyumba nayo siyo ECONOMICAL mkuu.
Sasa hiyo minguzo ya pembeni ni ya nini? Mapambo? Khaaa!! Ni kupoteza fedha bure tu maana hapo hakuna any load acting above it. Kuta hizo ndefu nyeupe na zenyewe ni kupoteza hela tu.
Kama zilikuwa na maana ya kuwa ni Pambo, basi ingelikuwa heri zijengwe katika mpango kwamba, siku moja mtu waweza kufumua na kuweka gorofa moja juu yake. Ila nikiangalia sioni uwezekano wa kuweka Beams na mwisho floors.
Ingelikuwa hata busara zaidi kuweka juu yake TAA ambazo zingelipendeza zaidi na kufanya nguzo ziwe na kazi fulani ya muhimu.
Hilo ghorofa jingine, naungana na wewe kuwa ni Kinyaa. Utafikiri Gypsy wanavyojenga kwao Rumunia kwa hela za wizi na ujambazi wanaoufanya dunia nzima ukiachia hela za UMATONYA. Hopeless kabisa hilo ghorofa na ni mfano LIVE wa limbukeni aliyepata hela na kuanza kutimiza ndoto zake za ghorofa wakati hata shule hakuenda.
Ukiwa na hela, tafadhali watafute wataalam wakutengenezee kitu kizuri na cha maana.