Nyumba ya Birdman...!!!

Nyumba ya Birdman...!!!

Lakini si wote tunasinzia? Wote hatunyeshewi mvua au kupigwa na jua.
 
Nikiwaamnia hapa Tanzania kuna nyumna kama hii mtakataa?
 
Hivi mie naishi au nasindikiza wenzangu?
Utaachaje kusindikiza wenzako wakati wenzio wanachapa kazi wewe unashinda kwenye mitandao kushabikia siasa na kutukana watu, utaendelea saa ngapi.
 
Back
Top Bottom