Newrays Realestate
Member
- Dec 8, 2023
- 23
- 30
Fyi
Unadhani imejengwa kwa sh ngap??
Unadhani imejengwa kwa sh ngap??
M nikajua wew ndo unatuambia, kumbe unatuuliza
Mijengo mikubwa kwako ni ya bei gani?Mi sijawai jenga nyumba ya hivi , mi najenga mijengo mikubwa
Choo ni nje kama kawaida ama
Hebu tueleze ikoje ndani maana kama nyumba ndogo hivyo zipo kali zaidi
Kwa kuwa sijawahi kuona ya hivyo let me guess 3mView attachment 2852966
Choo hiko hapo yaan kifup nyumba ina sebule chumba na choo imeisha
Mpuuzi😂😃😃 Ile ya ufukweni?
🤣 Hongera bwana. Nitakua najongea kupunga upepo.Mpuuzi😂
Afu ukimaliza unapunga nanii🤣 Hongera bwana. Nitakua najongea kupunga upepo.
Nyumba ya mbwa [emoji240] hiyo
Hapana may be kuanzia 7MKwa kuwa sijawahi kuona ya hivyo let me guess 3m
Aisee bora ninunue Caravan ambayo ni movable inaenda kila mahali ila naongeza hela kidogo kama 3m zingine na ina kila kituHapana may be kuanzia 7M
Caravan zingekuwa nyingi sana mtaani,ulishajiuliza kwa hazipo!?Aisee bora ninunue Caravan ambayo ni movable inaenda kila mahali ila naongeza hela kidogo kama 3m zingine na ina kila kitu
Unaweka solar tu
Hapana boss, ni kwa sababu wengi hawazijuiCaravan zingekuwa nyingi sana mtaani,ulishajiuliza kwa hazipo!?
Ni kweli uliyosema, ila sisi mfumo wetu wa maisha ni WA kiujima, ukiwa chuo tu umepanga ndugu wanakuja kukutembelea , Sasa hayo maisha kwenye caravan ni ngumu, lakini pia gharama za ujenzi na kupanga huku kwetu Bado ziko chini ukilinganisha na ulaya, lakini pia pesa ya kununua caravan +Kodi ya bongo tayari ni nyumba imeisha+kiwanja(tuna maeneo mengi Bado ,uwanja ukitoka nje dar mfano hata million unapata), labda caravan iwe ziada kwa huku kwetuHapana boss, ni kwa sababu wengi hawazijui
Kila sehemu na maisha yao na sisi ni wa kuiga tu
Kwa mfano UK beaches kuna vibanda vya kukodisha wakati sisi hatuna na pia Kuna Log Cabins watu wanaishi kwa bei rahisi
Na kuna boat za kuishi ambapo watu na familia zinaishi kwenye mito inayopita kwenye mito na wanaishi kwa raha zao
Kama huko hakuna haina maana zitajaa zikiletwa bali ni pochi yako tu
Picha baadae