2m pamoja na kiwanja chake.FyiView attachment 2852931
Unadhani imejengwa kwa sh ngap??
2m pamoja na kiwanja chake.FyiView attachment 2852931
Unadhani imejengwa kwa sh ngap??
Haswa, maisha ni tofauti sana na UlayaNi kweli uliyosema, ila sisi mfumo wetu wa maisha ni WA kiujima, ukiwa chuo tu umepanga ndugu wanakuja kukutembelea , Sasa hayo maisha kwenye caravan ni ngumu, lakini pia gharama za ujenzi na kupanga huku kwetu Bado ziko chini ukilinganisha na ulaya, lakini pia pesa ya kununua caravan +Kodi ya bongo tayari ni nyumba imeisha+kiwanja(tuna maeneo mengi Bado ,uwanja ukitoka nje dar mfano hata million unapata), labda caravan iwe ziada kwa huku kwetu