Nyumba inakodishwa Arusha

weka picha tuone maaana unakuta nyumba iko sehemu ya ajabu ajabu. hamna security wala good neighbor
 
Mkuu Arusha nyumba za kupangisha ni ghali kuliko dar, wafanyakazi wa UN walisababisha hili.
Kuna mfanyakazi wa UN anayekaa kwenye chumba kimoja na sebule au vyumba viwili na sebure? Nadhani wale huwa wanakaa kwenye mansions.
Jamani, mtuonee huruma sisi wapangaji. Si unajua hata mshahara wenyewe haujapanda?
 
Biashara gani hii mkuu? Weka picha watu tuithaminishe, au ni hema nini?
 
nyumba inapangishwa sanawari arusha ni self ya two bedroom ina jiko, choo, bafu ,store, pia ina umeme na maji. kodi ni shilingi laki mbili na nusu (250,000/=) ipo ndani ya fence. pia ni karibu na barabara kuu ya daladala. wasilianana na namba 0789 543 339
 
weka photo
 
Nyumba inapangishwa Arusha sanawari. bei yake ni shilingi 200,000/= ina vyumba 2 jiko choo bafu store. pia ipo ndani ya fence ina umeme na maji kwa wingi, ni karibu na barabara kuu ya dala dala. kwa mawasiliano zaidi piga namba 0789 543 339. ukifika na kuona ni vizuri zaidi kwani picha haiwezi kujitosheleza. asante
 
Ara siku hizi nyumba lak2 kweli hali tete.tena sanawari.duuuhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom