Nyumba inakodishwa Arusha

Nyumba inakodishwa Arusha

Ukiweka tangazo lako, unaambatanisha na picha inapendeza zaidi.
 
Nyumba inapangishwa Arusha sanawari. bei yake ni shilingi 200,000/= ina vyumba 2 jiko choo bafu store. pia ipo ndani ya fence ina umeme na maji kwa wingi, ni karibu na barabara kuu ya dala dala. kwa mawasiliano zaidi piga namba 0789 543 339. ukifika na kuona ni vizuri zaidi kwani picha haiwezi kujitosheleza. asante
Nahitaji nyumba ya vyumba vitatu,injitegemee,chumba kimoja master ,jiko,dining.
 
nyumba inapangishwa Arusha sanawari. Ni nyumba ya two bed room, ina sebule, jiko, choo, bafu na store. ipo karibu na barabara ya daladala na ina umeme na maji. ni ndani ya fence tulivu. kodi ni shilingi laki mbili na nusu. (250,000/=) kwa mwezi. kwa mawasiliano zaidi piga namba 0789 543 339
 
Nyumba ina bedroom 2 na sitting room, plus kitchen, store, bathroom and toilet inakodishwa. Ipo Sanawari kodi yake ni laki mbili na nusu kwa mwezi.

Pia kwa wale mnaojiandaa kufungua biashara zenu kama shule za watoto wadogo day care and nassary, dispensary/hospital and security guard nina site nakodisha. ina umeme na maji ya kutosha ndani ya fence karibu na barabara pia.

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba hizi 0653954094
 
yumba ina bedroom 2 na sitting room, plus kitchen, store, bathroom and toilet inakodishwa. ipo sanawari kodi yake ni laki mbili na nusu kwa mwezi. pia kwa wale mnaojiandaa kufungua biashara zenu kama shule za watoto wadogo day care and nassary, dispensary/hospital and security guard nina site nakodisha. ina umeme na maji ya kutosha ndani ya fence karibu na barabara pia. kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba hizi 0653954094
 
Nyumba ina bedroom 2 na sitting room, plus kitchen, store, bathroom and toilet inakodishwa. ipo sanawari kodi yake ni laki mbili na nusu kwa mwezi. pia kwa wale mnaojiandaa kufungua biashara zenu kama shule za watoto wadogo day care and nassary, dispensary/hospital and security guard nina site nakodisha. ina umeme na maji ya kutosha ndani ya fence karibu na barabara pia. kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba hizi 0653954094
 
Picha ziko wapii usijekua unapangisha ukumbi wa taalimu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom